ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Utafurahi ukimwona mchungaji wa Ng'ombe na mbuzi vile wanavyozengua2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
Ila kazi yako inaonekana Ina utulivu.HAKUNA KAZI NYEPESI KILA KITU KINA UGUMU WAKE LAKINI UKIWEKEZA MUDA WAKO WA KUTOSHA KATIKA HIYO KAZI BASI NI DHAHIRI UTAKUWA NA UTULIVU.
USIKARIRI MAISHA, DUNIA INABADILIKA NA MIENENDO YAKE.
#ROCA FELLA
Kila kitu kinachoitajika anatakiwa ajue atapata wap.Hivi unawajua madalali wewe? Yaani akili zao processor za kompyuta zikasome