Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

Andiko lako hili tayari limetoa hukumu
 
Kama mahakama imeridhia ina maana imeona wana sababu za kisheria kufanya hivyo. Je, wewe una sababu gani za kisheria kusema kama unavyosema?
 
Sawa kamanda. Ikirekebishwa ndiyo mwenyekiti wa Maisha wa saccos anatoka?
Atoke asitoke, ndio mwanzo wa mchezo wa kisheria kwa watu kukamuliwa ipasavyo- both serikali na Mbowe... maana legal fees zitakuwa ni kubwa sana kadri hii kesi inavyoendelea kwa upande mmojawapo...na kwa kuwa mawakili wa Mbowe wanasema matakwa ya kisheria hayakuzingitiwa maana yake ni kwamba wanawaambia wanasheria wa serikali kuja na ushahidi solid na ngoma itakuwa ngumu huko mbeleni... sijui kama kwenye hii kesi huwa kuna wazee wa mahakama/Jury, maana watazubaa na maswali pia majibu ya pande zote mbili... wasije tui kusinzia, kesi itakuwa ni buridani/tamthiria tosha kwa kweli kama Isidingo the need hivi...
 
Hili la sasa litamtoa Mbowe gerezani
Jitahidi diaries zote tatu, mawasiliano ya simu yaliyirekodiwa , records za TCRA za mawasiliano, na Mtandao wa simu na ushsjifi wa Cameras zikipotezwa , kasi kwishilia mbali kabisa.

Lakini vinginevyo ni kufanya maombi ili Mungu afanye maajabu.

Na mbavyo namkazia Kamanda Sirro mnamfanya aongezi weredi zaidi na kuunga ushahidi woote muhimu na uwe tight ili Sirro asionekane amemuonea Mbowe. Punguzeni malalamiko kwenye suala hili.
 
Of course, laypersons hawawezi kuona hivyo. Kwao ni usiku wa giza.
 
Whatever the case, mahakamani jambo muhimu ni 'admissible evidence' and not necessarily 'relevant evidence'.
 
Unamshitaki mtu kwa kosa kubwa namna hii bila hata kutaja alipotaka kulipua ! halafu bado unataka tukukenulie meno , uliona wapi laki 6 ikagharamia ugaidi ? nchi ambayo ndoo ya mafuta ya kula ni laki 1 , ndio laki 6 igharamie ugaidi ?
 
Labda kama umezaliwa jana , ushahidi wowote wa kutengeneza kuhusu Mbowe hautafanikiwa na utashindwa asubuhi tu , unakumbuka zilikoishia zile sms mlizomtengenezea Mnyika ? Chadema si chama cha kibwege , ukiona UN inapeleka mwakilishi kila kesi inapotajwa lazima ujitafakari sana
 
Aisee Tz ina maajabu na upumbavu uandamizi,. Eti majestically anasema anafahamu "umbali na distance zote". Mgonjwa yule
 
Mahakama iko mfukoni mwa Amiri jeshi na gaidi Mkuu nchini Mwigulu Nchemba hivyo sioni haki kutendeka.

 
Mambo ya kimahakama humalizika mahakamani......

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Mahakama iko mfukoni mwa Amiri jeshi na gaidi Mkuu nchini Mwigulu Nchemba hivyo sioni haki kutendeka.
Huyu alijiapiza kumfunga Lwakatare , mbona Lwakatare aliachiwa huru ? hawa ccm Mahakama kuu kule wanakuogopa vibaya mno !
 
Kama mahakama imeridhia ina maana imeona wana sababu za kisheria kufanya hivyo. Je, wewe una sababu gani za kisheria kusema kama unavyosema?
hata kama wanazo sababu za kisheria lkn kinacho fanywa na mawakili wa mbowe ni kuisumbua mahakama na kuchelewesha haki kutendeka kwa wakati.
Mawakili wa Mbowe walikuwa wanaweza kabisa kuwasilisha mapingamizi yao yote hiyo Jana lkn kwa maksudi na kwa nia ya kuisumbua mahakama na kuchelewesha haki kutendeka wakaamua leo tena waweke pingamizi ambalo tangu awali walikuwa wanalijua.
Mawakili wa Mbowe wasitumie haki waliyo nayo VIBAYA.
Kamwe wasigeuze Mahakama kama jukwaa la siasa.
waache mara moja tabia hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…