Aliona aniulize hivyo baada ya kuwa nimepost: 'Kwa upande wangu, naona (pingamizi) zina maana kwa sababu hizi: 1) Katika pingamizi la kwanza, najaribu kuona kama kweli Mahakama Kuu, kwa mujibu wa Section 34(1) of the Prevention of Terrorism Act, is distinct from or interchangeable with the Corruption and Economic Crimes Division of the High court kwa mujibu wa Section 3(1) ya the Economic and Organised Crime Control Act, 2002. 2) Katika pingamizi la pili, kama charge sheet is defective in nature (does not state the offence alleged or does not contain its particulars), the accused will be under misapprehension as to the accusations made to him and this is the ground for polishing it or if it cannot be polished, then for rejecting it for the interests of justice'.