Ila hao wote mbingu wataisikiatu😂Umachinga, waweza hisi wanapoteza mda ila wana make money. Wachungaji unaweza hisi wanaitafuta mbingu ila ki uhalisia wana make millions. Wauza pombe hawa wanawapuna walevi mpaka senti ya mwisho. Vishoka/madalali hawa ni mtu kati ila kupitia kula cha juu wana make millions
Shoes shine and shoes repairing.Leo tupeane A, B, C za kujiinua kiuchumi, unadhani ni kazi ipi inadharaulika mtaani kwako lakini ndo inayokuweka mjini?
Naomb mawasiliano ya trainer, plzDog training. Sifanyi ila nikiacha kazi nitafanya.