Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,934
- 13,954
Upo kwenye hio fani nn?Mimi ni shahidi kwenye hili
Upo kwenye hio fani nn?Mimi ni shahidi kwenye hili
Hapana mkuuUpo kwenye hio fani nn?
Uroge kwanza la sivyo utajua hujuiNipe tips pakuanzia nataka niwe dalali wa magari used bongo
Yaani unaipenda from your heart kabisa 😄😄😄 daaah wengine hadi kazi za mochwari wanazipenda.Hii kazi naipenda
😂😂😂 Oya nikiweka kazi ya from my heart nitadnganya maana kuipata aio rahisiYaani unaipenda from your heart kabisa 😄😄😄 daaah wengine hadi kazi za mochwari wanazipenda.
Ukiwa Jobless hutakiwi kupenda kila kazi bali unatakiwa kuona ni kazi gani itakupa maslahi na hutojutia mbeleni.
Hapo ndiyo naanza kukuelewa sasa.😂😂😂 Oya nikiweka kazi ya from my heart nitadnganya maana kuipata aio rahisi
Kusimamia toi naipenda among kazi za chini bana yaani ukilinganisha na viwandani, kubeba zege zile kazi za kujjshikiza hii ya kusimamia toilet naipenda maana no unakaa tu ukioata Toilet standard Kama wale wasimamizi wa stend ya mawasiliano Kama Cashier wa bank tu
Mmmh😔😔😔Maisha yana siri nyingi balaaaaaa
Hapa karume mchikichin kuna jamaa alikua anauza ndala hizi za kuogea za mtumba anachanganya na za dukan kwa 15k kila moja
Alikua na kavist kake kimuonekano alikua ni mtu anaejiweza
Siku moja zikasambaa taarifa sokon jamaa kauwawa kwa kupigwa risas ktk tukio la kijambaz sasa sijui alikua anapita njia akapatwa na hiyo zahma au majambaz walimteka na kwenda nae kwenye tukio wakimtumia km ngao
AiseeMaisha yana siri nyingi balaaaaaa

Mpaka ukaliwe kwa nyuma etiNaipenda kazi yangu ya boda boda ila changamoto yake ni mpaka upumuliwe kisogoni au abiria akukalie kwa nyuma🥱🥱
AaaahaaaaUalimu, walimu wana make money balaa.