NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,439
- 2,452
Wauza kuku wa kienyeji,, aiseee. Wanaotoa mikoani. Fast money.
Wee upo huko kwenye kuku...?
Wauza kuku wa kienyeji,, aiseee. Wanaotoa mikoani. Fast money.
Hii ni kweli kabisa..Kazi yangu ya udalali
Ila kuna very thin margin baina ya udalali na utapeli
One of my profit source ni hao kuku wa kienyeji.Wee upo huko kwenye kuku...?
One of my profit source ni hao kuku wa kienyeji.
Mpaka jioni hii nimebaki na kuku watatu tu bandani boss.Safi sana mpaka sasa unafanya hii biashara kiongozi...?
Mpaka jioni hii nimebaki na kuku watatu tu bandani boss.
Dodoma gairo 13,14,15.Unachukulia wapi na bei gani kwa kuku mmoja kiongozi...?
Makao mapya yepiKuuza condoms makao mapya
ArushaMakao mapya yepi
Mhh !!Arusha
Big NoMadalali wanapiga pesa za upesi ila wanaloga na kulogwa sana
Mimi ni shahidi kwenye hiliHeavy equipment operator (waongaza mashine) Hawa wanawazidi waajiriwa wa serikalini wengi wenye degree.
Hata kusomea ni gharama sanaHeavy equipment operator (waongaza mashine) Hawa wanawazidi waajiriwa wa serikalini wengi wenye degree.
Unatafta mtu kitaani akufundishaHata kusomea ni gharama sana