Kazi gani inadharaulika lakini ukiifanya inakuingizia pesa ndefu?

Umachinga, waweza hisi wanapoteza muda ila wana make money. Wachungaji unaweza hisi wanaitafuta mbingu ila ki uhalisia wana make millions. Wauza pombe hawa wanawapuna walevi mpaka senti ya mwisho. Vishoka/madalali hawa ni mtu kati ila kupitia kula cha juu wana make millions
 
Ila hao wote mbingu wataisikiatu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…