Kazi gani inadharaulika lakini ukiifanya inakuingizia pesa ndefu?

Madereva wa sekta za umma/serikali wanapiga mtonyo mzuri wale wa STJ, STK, STL n.k.
 
Yaani unaipenda from your heart kabisa 😄😄😄 daaah wengine hadi kazi za mochwari wanazipenda.
Ukiwa Jobless hutakiwi kupenda kila kazi bali unatakiwa kuona ni kazi gani itakupa maslahi na hutojutia mbeleni.
😂😂😂 Oya nikiweka kazi ya from my heart nitadnganya maana kuipata aio rahisi

Kusimamia toi naipenda among kazi za chini bana yaani ukilinganisha na viwandani, kubeba zege zile kazi za kujjshikiza hii ya kusimamia toilet naipenda maana no unakaa tu ukioata Toilet standard Kama wale wasimamizi wa stend ya mawasiliano Kama Cashier wa bank tu
 
Hapo ndiyo naanza kukuelewa sasa.
 
Maisha yana siri nyingi balaaaaaa


Hapa karume mchikichin kuna jamaa alikua anauza ndala hizi za kuogea za mtumba anachanganya na za dukan kwa 15k kila moja


Alikua na kavist kake kimuonekano alikua ni mtu anaejiweza


Siku moja zikasambaa taarifa sokon jamaa kauwawa kwa kupigwa risas ktk tukio la kijambaz sasa sijui alikua anapita njia akapatwa na hiyo zahma au majambaz walimteka na kwenda nae kwenye tukio wakimtumia km ngao
 
Mmmh😔😔😔
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…