Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kazi inafanyika na unaionaUtatusamehe tu kwa kweli. Bora hata ywende na Hashim Rungwe Spunda, ili tuwe na uhakika wa kula Ubwabwa, pilau na nyama ya kuku!
Ila siyo huyo wa kutuongezea makodi na matozo yasiyo na kichwa, wala miguu.
Why?Samia kazi ya uraisi haiwezi.
Majenereta yamezimwa sasa ni gridi ya taifa tu.Ziara za mh zimepooza sana na hazina mvuto.Nimeangalia hapa anawauliza wananchi nani anamjua mpango?wananchi hamna hata mmoja aliyeitikia au kunyosha mkono hadi akaona aibu akanyamaza tu
Urais huu wa mitandaoni hauwezi ule wa kutekeleza ahadi za CCM moja baada ya nyingine anauweza sana na ndio unaompeleka Kigoma na mikoa mingine.Samia kazi ya uraisi haiwezi.
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia
Chawa karuka toka kwa Marehemu kahamia kwa mamaKuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia
Hakuna kitu tunaona.Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia
Hatimaye Chawa Mpya aibukaKuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.
Zitto mbona alishaungana na ccm !2025 ni Muungano wa vyama vya upinzani rais ni TL makamu wake ZZK.
Duu kweli tulipofika ni pabaya km Taifa. Huu uhuru wa kuongea madhara yake ndio haya. Ni kuropoka tuKuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.
Umemsikia akikwambia atagombea???Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.