Kazi inaendelea, kilichobaki ni kwenda na Rais Samia. 2025 ni kumuunga mkono kwa nguvu zote

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.

Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.

2025 Twende na Rais Samia.
 
Utatusamehe tu kwa kweli. Bora hata ywende na Hashim Rungwe Spunda, ili tuwe na uhakika wa kula Ubwabwa, pilau na nyama ya kuku!

Ila siyo huyo wa kutuongezea makodi na matozo yasiyo na kichwa, wala miguu.
 
2025 ni Muungano wa vyama vya upinzani rais ni TL makamu wake ZZK.
 
Utatusamehe tu kwa kweli. Bora hata ywende na Hashim Rungwe Spunda, ili tuwe na uhakika wa kula Ubwabwa, pilau na nyama ya kuku!

Ila siyo huyo wa kutuongezea makodi na matozo yasiyo na kichwa, wala miguu.
Kazi inafanyika na unaiona
 
Ziara za mh zimepooza sana na hazina mvuto.Nimeangalia hapa anawauliza wananchi nani anamjua mpango?wananchi hamna hata mmoja aliyeitikia au kunyosha mkono hadi akaona aibu akanyamaza tu
 
Post hii ni ushahidi tosha kuwa ndani ya CCM yetu ni utamaduni kuvunja sheria za nchi.

Ni kosa kuanza kampeni kabla Tume (isiyo huru) ya Uchaguzi kutoa idhini.

Kama kazi zinafanyika, hii hofu ya 2025 inatoka wapi?
 
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.

Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.

2025 Twende na Rais Samia

Ndio, vyombo vya dola vipo vitahakikisha mama anaendelea ila sio kwa kura maana wananchi wamelipuuza box la kura.
 
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.

Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.

2025 Twende na Rais Samia
Chawa karuka toka kwa Marehemu kahamia kwa mama
 
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.

Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.

2025 Twende na Rais Samia
Hakuna kitu tunaona.
Hivi yule aliyekuwa anaongizana na mwenda akiwa na begi la mapesa kila akisimama mahali lazima lifunguliwe!
Hatuoni Hilo hivyo wananchi hawahitaji kwenda kwenye ziara nawaona machawa wanavyohangaika.
 
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.

Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.

2025 Twende na Rais Samia.
Hatimaye Chawa Mpya aibuka
 
Duu kweli tulipofika ni pabaya km Taifa. Huu uhuru wa kuongea madhara yake ndio haya. Ni kuropoka tu
 
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.

Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.

2025 Twende na Rais Samia.
Umemsikia akikwambia atagombea???
 
Back
Top Bottom