For the people
Member
- Sep 20, 2017
- 22
- 35
Habari zenu ahsanteni wote mliokua interested na thread hii😊, nimerudi kuwajulisha tayari nimeshapata mtu. Kwa ambao mme ni dm will consider you kama ikitokea kazi nyingine, til next time💯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo timamu 100%Mkuu upo sawa?
mpumbavu wewe, tafuta ndugu yako wa karibu umpe hiyo kaziNipo timamu 100%
Ndugu yangu kasema hii hela ndogo kwake😟mpumbavu wewe, tafuta ndugu yako wa karibu umpe hiyo kazi
Naweza nikatoa inategemea💁Aiseee Hela ya bando Nan anatoa?
Sawa subri itegemeee bando la mtu Kuwa online masaa matano ni 3000 hakuna mtu atakuja afanye hiyo kaziNaweza nikatoa inategemea💁
Cmn ni 5 hours max na ni 5 hrs in split na kazi ni kupost tu na content natoa mimi bro🤷Hiyo hela si yakununua tu mihogo na chachandu?
Thamani ya muda wa 5 hours kwa Tshs 1500?
Mkuu hebu jaribu kupima malaria kwanza.
mpumbavu wewe, tafuta ndugu yako wa karibu umpe hiyo kazi
Kazi inachukua around 300mb 😊Sawa subri itegemeee bando la mtu Kuwa online masaa matano ni 3000 hakuna mtu atakuja afanye hiyo kazi
Hapo kwenye 1500 iwe 15,000 am inNB. Kazi hii imelenga kuwapa nafasi wasio na kazi kabisa, au yoyote mwenye muda wa ziada...
Jmn na hizo 300 mb unampa auKazi inachukua around 300mb [emoji4]