Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

[emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!Pole sana mkuu.
 
Uru ipi mmeku??
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa MMAAA![emoji109][emoji109][emoji109]
 
yawezekana ni kweli, "dont judge a book by its cover"
Ha ha ha

Mfano pale kwa kisiki, si ungetafuta maji uloweshe ardhi uifanye kazi hata kwa siku 2, nadhani ingewezekana.

Kuuza soda, hata dukani hawauzi kila siku sawa, siku nyingine wanatoka kapa, wewe ulitaka siku ya kwanza tu utoke Mrithi, ulitakiwa pia uwe vinenoneno vya kuwavutia wateja, na pengine ungeweza kupunguza mzigo kwa kuuweka mahali ili usiwe unabeba mzigo mzito kwa wakati mmoja.

Mbona watu wanauza wanatusua hivyohivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]
 
Huu ushauri wako akiufata mtu anapoteza,kisiki atakitoa baada ya mwezi kuisha

unahisi kisiki ni ardhi tu inahusika eeeh,hicho ni kisiki mkuu sio shimo maana nahisi unahisi ni Shimo linachimbwa...
Hajui kisiki huyu[emoji1787]
 
Daaah...


Nimecheka Sana.
 
Kumbe unaongelea za bongo. Mi nilikuwa naosha vyombo restaurant huko ugaibuni ila mpaka sasa waifu hajui. Rafiki yangu alikuwa anaogesha wazee na yeye waifu wake hajui mpaka sasa.
Hao wazee tena kwa mbele ndio wanatoa tip nyingi....
 
[emoji1787]
 
Mkuu pole sana yaani kwa usimuliaji huu nimejikuta nacheka sana. Japo the whole hustling life ni too sad. Nipo kitandani usiku huu wife kastuka nikicheka kimya kimya kwa kujibana maana kitanda kikawa kina vibrate tu kwa kucheka pole sana kamanda wewe ni jembe lkn
 

Umenikumbusha mbali ulivyotaja IMPALA wazee wa kazi
 
Wewe lazima ulikuwa KK security (Kwa.sasa Garda World)
 
kitu laini lazima uchechemee, kupiga ile kazi wanaume wanavaa madela, magauni nk kuepuka michubuko mapajani ile kupanda na kushuka ngazi ukiwa na ndoo ya zege kichwani. Unapandisha na kushuka huku wanaimba au unaambiwa tafuta pesa malaya akale kuku. Daaaah si mchezo ..... Wengine tukisimulia hapa bendera inaweza shushwa nusu mlingoti mateso, manyanyaso, utapeli visa, mpaka vifo site hizi za ujenzi but still we are pushing hard .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…