Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nilijua tu hili lazima litaibuka.....Kuna muda nakupendaga sana ukiacha kile kipengele kimoja tu 😂😂😂
You are so real.
Sisi tuliokulia ushuani ngoja nasi tuanzishe uzi wetu...
JF raha sana. Maana kuna mtu nimemsoma na nikakumbukia kuna thread alivyokuwa anajipa mapromo.... Mpaka sasa sijajua kipi anachosema ukweli, hapa au kwenye ule uzi mwingine
Cha msingi, usiichukulie JF serious sana. Hizi Pen names zinawapa watu nafasi kubwa ya kuficha uhalisia. Tatizo wengine hawajui ili uwe mwongo mzuri unapaswa kuwa na kumbukumbu nzuri pia