Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

Daaah! we jamaa umenichekesha sana,ila hongera,daah nimecheka sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika mkuu
 
Achana na hizo hapa ndio uhalisia wa maisha Sasa. Na ukiona mtu kapitia haya mambo, hajaishia kuwa Teja au msela, lazima atoboe, lazima hata kama sio kiwango Cha kutisha ila hawezi kuwa mzembemzembe.

Hii ni zaidi ya mafunzo ya ukomandoo.
Mkuu umeongea kweli kabsa. Kwenye mapito ya hizi kazi usipo ingia kwenye kula mjani na mavilevi makali jua wewe hutakaa uguse na utatoboa. Mungu mkuu wanangu pambaneni.
 
Asante sana kwa kunifanya nicheke, stori yako inaburudisha, inafundisha na kumfanya mtu ainuke tena. Na yule ambaye alikuwa amekaa bila kujishughulisha aanze kupambana.
Maisha yana mapito mengi sana magumu, hasa kwa mtu anayejitoa kupambana kuhakikisha anafika kwenye hatima yake.
 
1850. Mwaka gani ilikuwa. Mpambano mkali[emoji16][emoji16][emoji16]
 
1S4q177?3[emoji310]~wq5qq>[emoji310][emoji16]
 
Karibu tena na tena Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…