Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

Wewe vipi lakini?
Kueneza dini siyo kazi, ni wito na huwa malipo yake ni ahera.
Subiri ahera utalipwa vizuri tu.
Mabikra 72 wanakuhusu!
 
Walimuwa madrassa kuna kipindi ulivuma upepo wa tabia zenu zileeee ☒️☒️☒️☒️🀣
 
Hizo sio kazi ni volunteer, kama unataka ya kukulipa hamna hapo
 
Mwenzako adriz anapenda ile ya kukamua mavi maiti ziwe safi kuzikwa inavijipesa pesa wewe vipi hii kazi
 
Umechagua fungu jema Mufti wangu. Ila shortcut ni kuvaa tu mabomu na kujilipua kwenye mkutano wa makafiri ili uwahi Jannah kwenye bikra 72 na mito ya pombe.
 
Kiazi kweli we jamaa..unakula vitoto vya watu umenogewa ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kazi nayependa mimi ni Dereva wa Daladala ila Chuma iwe yangu mwenyewe si kuajiriwa.
 
Kinachofuata ni kujivisha mabomu na kutafuta mikusanyiko ya watu unaowaita MAKAFIRI na kujilipua huku ukitamka ALLAH AKBAR....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…