Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

Kinachofuata ni kujivisha mabomu na kutafuta mikusanyiko ya watu unaowaita MAKAFIRI na kujilipua huku ukitamka ALLAH AKBAR....
Kulikuwa na makafiri wengi kama wewe wenyewe mawazo kama hayo, lkn baada ya kusilimu wamejua ukweli
 
Hiyo malaria yako haitibiki?
 
Unamwogopa Jagina kama ukoma ?? subiri akupe daawa .Wewe mpaka utasilimu tu inshaalah
Kamwe siwez kuwa Muislam,
Na pia Sina hata chembe ya mchanga ya woga kuhusu ww.

Na pia haihusiani na kujua kuwa ID ya Malaria na Jagina ni mtu mmoja.

Na najibugi mada zako kila nikipata nafas. Na nikuambie tu, hakuna hoja hata moja ambayo imefanya nione sintofaham kwenye Dini yangu.
 
Wapumbavu dini zimewatawala hadi mnakosa ufahamu...... nani alikuambia kuna akhera.... ? Wewe ukifa umeenda yaan, watazaliwa wengine na maisha yataendelea... circle ya binadamu iko hivo.....

Tutakufa wote, tutazikwa, wataishi wengine nao wataenda kwa muda wao ... Dini hizi ni utapeli
 
Allah akuongoe uwe muislam
 
Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kunye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiwe
 
Ishauri serikali iwalipe mshahara
 
Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kunye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiwe
Nimepinga na nimetolea ufafanuzi, na sijaona hoja mpya ambayo imeniletea sintofahamu.
Ww kutozielewa haimaanishi kwamba ww ndio uko sahihi.

Mm pia nimeshatoa hoja nying tu na hakuna hata moja uliyopinga au hata kujaribu kuitolea ufafanuzi.

Kwahiyo amin kwamba Kamwe . Kamwe siwez kuwa Muislam.
Hata sasahiv niambiwe ninyongwe had kufa au kuwa muislam.

Ntachagua kunyonywa had kufa na Ukristo wangu.
 
Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kunye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiwe
Alag ngoja nikuambie kitu.

Mm nakuona ww kama wale maustadhi Wafupi, weusi, Wamepaka rangi nyekundu ndevu zao. Wamevaa kanzu fupi , kibagalashee, Sandals zimechakaa, misaafu miwili na vibegi vyao vya mgongoni.

Sasa hawa vidampa wala hawajui dini, ni kama tu wale walokole wanaoweka spika na kupiga kelele barabarani. Nao ni wale wale tu.

Kujua kusoma quran na Biblia sio kwamba ndio unajua dini na kuweza eti kubadilisha mtu imani yake.
It takes more than than mwanetu.

So hawa vidampa ambao wako kama ww mm huwa siwasikilizi.
 
Kwanini hauzifanyi sasa hivi? Ni ngumu kupata nafasi?
 

Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kwenye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…