Tunamjadili mtu kiongozi, maisha na mwenendo/tabia yake kama kiongozi..kati ya yaliyomo kwenye kiapo chake ni tabia, hulka na maisha yake wakati akiwa kiongozi..hivyo si kupoteza muda kumjadili, lkn hata huo muda hunipi wewe..tunamkosoa kwa kitendo cha kuwa mjamzito bila kuwa na mume wa ndoa ilihali yeye ni kiongozi, ameshindwa kuwa mfano mzuri kwa anaowaongoza na hivyo amepoteza sifa ya kuendelea kuwa kiongozi..!usilete ubabaishaji wako kuhamisha lengo la kile tunakosoa.Unapoteza muda kumjadilii mtu na maisha yake. Unaendekeza uswahili ule ule wa kushambulia uja uzito wa mtu mzima. Very Pathetic.
..isiwe nongwa? wewe siyo mzima kichwani.Mshahara wake kuwa sehemu ya kodi zetu isiwe nongwa ya kutaka kuyatawala maisha yake.
Kuna wezi wangapi wameiba mabilioni ya pesa katika mashirika ya umma na mishahara yao ni kodi zetu?.
Mimba yake ni suala lake binafsi. Kuoa au kuolewa ni majaliwa mkuu. Sio kila anayezaliwa anapata bahati ya kuoa/kuolewa ukumbuke hilo.Tunamjadili mtu kiongozi, maisha na mwenendo/tabia yake kama kiongozi..kati ya yaliyomo kwenye kiapo chake ni tabia, hulka na maisha yake wakati akiwa kiongozi..hivyo si kupoteza muda kumjadili, lkn hata huo muda hunipi wewe..tunamkosoa kwa kitendo cha kuwa mjamzito bila kuwa na mume wa ndoa ilihali yeye ni kiongozi, ameshindwa kuwa mfano mzuri kwa anaowaongoza na hivyo amepoteza sifa ya kuendelea kuwa kiongozi..!usilete ubabaishaji wako kuhamisha lengo la kile tunakosoa.
Wewe ndio mbovu kichwani, unamsimanga Jokate kwa masuala yake binafsi...isiwe nongwa? wewe siyo mzima kichwani.