Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Yes mm nlipenda kuwa mfamasia na sasa naisoma .Uli itaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee nilicho wekwa kwenye mguu wangu wa kushoto.....
Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani
Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza.....
Siku uamini mpira wa miguu wa Tz na kasumba za enzi zile kua mpira wa miguu ni mchezo wa watoto wa kimaskini......
Wakati mwingine Niki ikanyaga ardhi na miguu yangu na hakika MUNGU aliweka kipaji Cha pekee Sana kwangu ila nili kipuuza....
"The greatest loss is what dies inside while still alive" -Tupac
Haahaa mm pia ni mfamasia ila sina (karatasi) cheti.....(jokes)Yes mm nlipenda kuwa mfamasia na sasa naisoma .
Ndoto za mchanaWengine tunandoto za mchana na umri unasonga
HongeraaNashukuru Mungu nimetimiza ndoto zangu nusu na bado napambana,Nilipenda niwe mpishi wa mahotel ya kitalii nipike vyakula vya mataifa mbalimbali.Ila bado sijatimiza moja ya kuwa na restaurant yangu
Ndoto zangu zimetimia, nalala tena niote nyingine
MfamasiaMtoa mada hujamaliza kuhusu we mwenyewe.......endelea kidogo
Huja chelewa bado....Maskini ya Mungu nilikua nataka kuwa mwanasheria[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hongeraa sanaa mkuuKazi ileile sema kitengo tofouti, maana ninavyochukia nguo zile za khaki Mungu tu ndio anajua pengine leo SIRRO angekuwa ameshanifuta kazi.
Ipi uyoooNdiyo, ndiyo nayoifanya Sasa hivi...