Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Utotoni kabisa nilikuwa nataka kuwa rubani, baadae nilivyofika sekondari nikataka kuwa surgeon nilipofika advance nikataka kuwa mfamasia au telecom engineer na vyote hapo hakuna hata kimoja nilisomea chuoni ila nafikiria kutimiza kimoja kati ya hivyo nikijaaliwa uhai na uzima.