kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Huku Africa ndoto huwa hazitimii..maana utarogwa mpaka ukate tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good luck.Ndoto yangu bado haijatimia, lakini naamini Mwenyezi wa yote atanifikisha. Yote mema.
Ki Umri sasaivi nakimbiza sungura.....I don't doubt you.
Do something about it.
Don't take your gift with you to the grave.
Haahaa....PGMNdoto ya kua Pilot ila mpaka leo kitu ninachokifanya kinachohusiana na Ndege ni kuweka "Flight mode" kwenye simu yangu,
😀😀😀😀😀
Haujachelewa BADO...chance ya KUANilitamani kuwa Padre ila madent wa Nganza Girls ya Mwanza ndo wanajua ilikuwaje ndoto zangu zikazimika. Poor mseminari mie!
Utotoni nako nilitamani nikikua niwe bondia kama Tyson au mpiga kung-fu kama Bruce Lee. Ila kuna siku nilichezea kipigo kwa dogo mmoja wa kitaa, sarakasi zangu na ndoto zote zikafia pale.
Haujachelewa BADO waswahili husema ELIMU NI BAHARI......Aah thubutu [emoji23][emoji23][emoji23]nshazeeka
Vitabu vya dini vinasema hata dhambi zikiwa nyekundu kama damu zitatakaswa na KUA nyeupe kama theruji....Huyu atakua kaishazama chunvini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Vitabu vya dini vinasema hata dhambi zikiwa nyekundu kama damu zitatakaswa na KUA nyeupe kama saruji....
Start a soccer school.Ki Umri sasaivi nakimbiza sungura.....
Nadhani mpk hapo unaweza fahamu nipo kwenye Umri gani....
35 yrs and above kweny football ushakua mzee.....
Mm ni mzee sasa kweny football.....hata huku nilipo sina regrets
Ni jukumu letu kuwashauri Vijana na kuwa guide ku pursue their dream....
Nice advice....yaan ntaanza kufanyika Kazi.....Start a soccer school.
Na matter how small.
Start where you are. You do not need buildings. Just a ball, a playing ground and some kids. Talk to your close neighbours and friends na sio uwaombe ushauri. No. Waambie tarehe fulani muda flani kutakuwa na practice ya watoto.
Kama upo Dar uta share location so I can enlist my kids kama sio mbali sana na ninapokaa.
I think ukiongea na uongozi wa sehemu kama Don Bosco unaweza kufanikisha jambo hili.
Good Luck.
Haahaa theluji.....Saruji ya cement au theluji[emoji28][emoji28]
One day yes....Ndoto yangu bado haijatimia, lakini naamini Mwenyezi wa yote atanifikisha. Yote mema.
niliota ndoto nilitamani nije kuwa expert baadaye kwenye taasisi flani nashukuru kwa sasa nimetimiza hapa JFUlihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto.....
Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani
Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza.....
Siku Uamini mpira wa miguu wa Tanzania....Pia kasumba za enzi zile kua mpira wa miguu ni mchezo wa watoto wa kimaskini......
Wakati mwingine Niki ikanyaga ardhi na miguu yangu na hakika MUNGU aliweka kipaji Cha pekee Sana kwangu ila nili kipuuza....
"The greatest loss is what dies inside while still alive" -Tupac
Yes. Halafu siku zote, mtoaji ndie anafaidi.Nice advice....yaan ntaanza kufanyika Kazi.....
Tunajukumu la kusaidia wengine kutimiza ndoto Zao...
Tatizo ni muda......Yes. Halafu siku zote, mtoaji ndie anafaidi.
Narudia tena ukishaweka mambo yako sawa utupatie taarifa na humu tuwasajili watoto wetu.
It is a nice side hustle too that will wntertain you, keep you fit and earn you something.
900 Inapendeza zaidiniliota ndoto nilitamani nije kuwa expert baadaye kwenye taasisi flani nashukuru kwa sasa nimetimiza hapa JF