Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

nilale tu nadhani nasinzia.

Ila out of curiosity, unacheza soccer ya kulipwa?
Haahaa, mpira wa miguu nili upuuza....ni kitu ambacho nilikua Talented nilikifanya kikawaida ila kitofauti....niseme tu ki ufupi left football ni Gifted player.....

Hizi sio hekaya za alfa ulela ulela....trust me kwa mguu wangu wa kushoto nili be Gifted
 
I don't doubt you.

Do something about it.

Don't take your gift with you to the grave.
 
Nilitamani kuwa Padre ila madent wa Nganza Girls ya Mwanza ndo wanajua ilikuwaje ndoto zangu zikazimika. Poor mseminari mie!

Utotoni nako nilitamani nikikua niwe bondia kama Tyson au mpiga kung-fu kama Bruce Lee. Ila kuna siku nilichezea kipigo kwa dogo mmoja wa kitaa, sarakasi zangu na ndoto zote zikafia pale.
 
Back
Top Bottom