Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

nilitamani kuwa mfamasia lakini nimeambulia kupata diploma tu ya pharmacy... na mda ushakuwa mchache mambo lukuki
 
I don't doubt you.

Do something about it.

Don't take your gift with you to the grave.
Ki Umri sasaivi nakimbiza sungura.....

Nadhani mpk hapo unaweza fahamu nipo kwenye Umri gani....

35 yrs and above kweny football ushakua mzee.....

Mm ni mzee sasa kweny football.....hata huku nilipo sina regrets

Ni jukumu letu kuwashauri Vijana na kuwa guide ku pursue their dream....
 
Haujachelewa BADO...chance ya KUA
REV. The sun BADO ipo......ni maamuzi tu...
 
Start a soccer school.

Na matter how small.

Start where you are. You do not need buildings. Just a ball, a playing ground and some kids. Talk to your close neighbours and friends na sio uwaombe ushauri. No. Waambie tarehe fulani muda flani kutakuwa na practice ya watoto.

Kama upo Dar uta share location so I can enlist my kids kama sio mbali sana na ninapokaa.

I think ukiongea na uongozi wa sehemu kama Don Bosco unaweza kufanikisha jambo hili.

Good Luck.
 
Nice advice....yaan ntaanza kufanyika Kazi.....

Tunajukumu la kusaidia wengine kutimiza ndoto Zao...
 
niliota ndoto nilitamani nije kuwa expert baadaye kwenye taasisi flani nashukuru kwa sasa nimetimiza hapa JF
 
Nice advice....yaan ntaanza kufanyika Kazi.....

Tunajukumu la kusaidia wengine kutimiza ndoto Zao...
Yes. Halafu siku zote, mtoaji ndie anafaidi.

Narudia tena ukishaweka mambo yako sawa utupatie taarifa na humu tuwasajili watoto wetu.

It is a nice side hustle too that will wntertain you, keep you fit and earn you something.
 
Yes. Halafu siku zote, mtoaji ndie anafaidi.

Narudia tena ukishaweka mambo yako sawa utupatie taarifa na humu tuwasajili watoto wetu.

It is a nice side hustle too that will wntertain you, keep you fit and earn you something.
Tatizo ni muda......
 
nilitamani sana kujiunga na jeshi...bado napambana japo ivi sasa nimeangukia kwenye ulinzi binafsi...sijachoka kuwania nafasi za jeshi kwani naamini MUNGU anampa amtakae na anamnyima pia amtakae kama ni haki yangu kujiunga na jeshi nitajiunga...BADO NASUBIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…