Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
If you want it enough, you will find time for it.Tatizo ni muda......
Shukrani mkuu.Good luck.
Bladifakini..🤣Nilitamani niwe rubani wa ndege lakini mpaka sasa naendesha Land Cruiser mkonga ya shirika, yaani nalenga madaraja hujawahi pata ona Afrika Mashariki na kati na ukanda mzima wa jangwa la Sahara
Yes nilipenda kuwa Mhasibu na imekuwa hivo paka SasaUlihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto.....
Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani
Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza.....
Siku Uamini mpira wa miguu wa Tanzania....Pia kasumba za enzi zile kua mpira wa miguu ni mchezo wa watoto wa kimaskini......
Wakati mwingine Niki ikanyaga ardhi na miguu yangu na hakika MUNGU aliweka kipaji Cha pekee Sana kwangu ila nili kipuuza....
"The greatest loss is what dies inside while still alive" -Tupac
Sio lazm ue raisi.......Nasubiri umri utimie nitimize ndoto yangu ya kuwa Rais😎
😳Sio lazm ue raisi.......
Haahaaa
Hivi mtu anaweza piga postgraduate ya law pale open akatambuliwa kama mwanasheria?Kwa mwenye mafikirio huu uzi ni sad story kwa watu wengi humu.
Nakumbuka familia ilipenda niwe mwanasheria.
Mimi nilipenda niwe administrator.
Nikiwa ktk masomo ya juu kuna jamaa akawa anachukua certificate ya sheria masomo ya jioni angali ansoma kitu kingine hapo hapo chuoni. Nilimuuliza hii certificate ya nini akasema ni kwa ajili ya ulinzi tu.
Nikakumbuka ndoto ya kuwa mwanasheria na hata ya kuwa administrator nayo ikipotea.
In my next 10 years life I wish kutimiza one of them.
Maisha mengi ya waafrika si yakutimiza ndoto bali ni kuutafuta kula, kuvaa, kujenga familia na kufa
Nilitamani sana urubani, ila nimeishia kushika mikoba ya mwanasiasa kila aendapo ninaye (niko na yeye)Ulihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto.....
Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani
Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza.....
Siku Uamini mpira wa miguu wa Tanzania....Pia kasumba za enzi zile kua mpira wa miguu ni mchezo wa watoto wa kimaskini......
Wakati mwingine Niki ikanyaga ardhi na miguu yangu na hakika MUNGU aliweka kipaji Cha pekee Sana kwangu ila nili kipuuza....
"The greatest loss is what dies inside while still alive" -Tupac
Na anza kuamini Moja Kati ya ndoto inayo ongoza kwa kutotimia ukizaliwa kusini mwa jangwa la sahara basi ni urubani.....Nilitamani sana urubani, ila nimeishia kushika mikoba ya mwanasiasa kila aendapo ninaye (niko na yeye)