Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

Bora wao walioko huko wanaishi vizuri wanapata huduma za kibinadamu bila stress kuliko wewe unayezoa mavi Lumumba na kulipwa buku 7 kwa masimango..!!
 
Wanipe mimi hiyo kazi ya kusafisha mavi ya wazungu nipate sasampa nikajidai baa.

Daddy angu Mbaga Jr twenzetu mamtoni tukasafishe mbolea za kizungu kuliko kusubiria ajira za kitanganyika za kubeti na kucheza biko.

Ukiliosha libibi limoja la kizungu unapewa milioni saba kwa mwezi, unaweza kuwa tajiri kuliko hata MKUU WA MKOA wa Tanganyika.
 
Tafuta visa uende hasa Ulaya ndio Kuna hizo kazi za kufua mavi kirahisi
 
Hakuna Raha yeyote ya maisha Kwa kazi ya kuosha mavi mwaisa hata upewe ujira kama wa Rais Kwa mwezi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kinamdude wanaraha gani??,kina Soka wanaraha gani??,kina mzee kibao wanaraha gani ??,na mwananchi wa njilinji ambaye hata mlo wa asubuhi kwake shida anaraha gani??,wakati nyinyi wapuuzi na wajinga mnakula buku 7000 ya propaganda za kijinga kabsa
 
Back
Top Bottom