ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Nafasi Yako inakuuliza na sura inaonesha 😆😆Uzuri wa Pesa ukipata hawatakuuliza umepata wapi zaidi ya kukulamba miguu tu
Nafasi Yako inakuuliza na sura inaonesha 😆😆Uzuri wa Pesa ukipata hawatakuuliza umepata wapi zaidi ya kukulamba miguu tu
Kawaulize Mimi sio msemaji waoKinamdude wanaraha gani??,kina Soka wanaraha gani??,kina mzee kibao wanaraha gani ??,na mwananchi wa njilinji ambaye hata mlo wa asubuhi kwake shida anaraha gani??,wakati nyinyi wapuuzi na wajinga mnakula buku 7000 ya propaganda za kijinga kabsa
Tunaishi Kwa Raha zetu na tunawaachia karaha zenu za maviHaya endelea kupalilia viazi , vikikomaa ukaoge vumbi la hicho kijiji chenu kikubwa.
My Take
Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
Endelea kula gulutu ...au uje ...mjiniHivi kweli mwaisa niache maisha ya Neema ya Tukuyu nikaoshe mavi mwaisa? Uko serious kweli?
Kaa utulie waache watu hao watulie kwa amani sio muwashawishi waje muwabake,muwafire,muwalawiti na muwauweKawaulize Mimi sio msemaji wao
PumbafuTunaishi Kwa Raha zetu na tunawaachia karaha zenu za mavi
Kwani hakuna watu bongo wanaosha mavi huko motuary?? Wanalipwa shingapi?Hivi kweli mwaisa niache maisha ya Neema ya Tukuyu nikaoshe mavi mwaisa? Uko serious kweli?
My Take
Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
Sio kweli. Nafsi ilisharidhika na kazi hiyo. Sura ya mtu hutegemea yupo mahali gani na katika mood gani. (Sura ni tofauti na umbile)Nafasi Yako inakuuliza na sura inaonesha 😆😆
Mbona umeenda mbali hivyo? Popote pale penye mkusanyiko wa watu e.g. Mashuleni, Hospitali, maeneo ya makanisa, misikiti, kumbi za starehe, guest H.Kwani hakuna watu bongo wanaosha mavi huko motuary?? Wanalipwa shingapi?