ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nani Sasa aache kwani hujasikia ushuhuda? Kama unaosha mavinkaushaAcha propaganda
Hivi kweli mwaisa niache maisha ya Neema ya Tukuyu nikaoshe mavi mwaisa? Uko serious kweli?Baki tu sidhani hata kama unauwezo wa kwenda huko nnje mwaisaπ€
Endelea kutoka sagamba hapo mwanjelwa , wenzako wanaosha mapupu na wana ishi expensive life mwaisaHivi kweli mwaisa niache maisha ya Neema ya Tukuyu nikaoshe mavi mwaisa? Uko serious kweli?
Unawavuta na waliopo nje mje muwateke,muwalawite,muwafire na muwabake,mnataka nini kwa watanganyika si wamewaachia nchi au bado mnataka nafsi zao??Nani Sasa aache kwani hujasikia ushuhuda? Kama unaosha mavinkausha
Watatekwa bila sababu?Unawavuta na waliopo nje mje muwateke,muwalawite,muwafire na muwabake,mnataka nini kwa watanganyika si wamewaachia nchi au bado mnataka nafsi zao??
Huo uwezo wa kwenda πΊπΈ huna, usitup
Bora nikose uwezo kuliko kupata uwezo wa kuosha mavi mwaisa
Hakuna Raha yeyote ya maisha Kwa kazi ya kuosha mavi mwaisa hata upewe ujira kama wa Rais Kwa mwezi ππEndelea kutoka sagamba hapo mwanjelwa , wenzako wanaosha mapupu na wana ishi expensive life mwaisa
Waacheni basi wanini??Watatekwa bila sababu?
Kuna mtu amewalazimisha?Waacheni basi wanini??
Tafuta visa uende hasa Ulaya ndio Kuna hizo kazi za kufua mavi kirahisiWanipe mimi hiyo kazi ya kusafisha mavi ya wazungu nipate sasampa nikajidai baa.
Daddy angu Mbaga Jr twenzetu mamtoni tukasafishe mbolea za kizungu kuliko kusubiria ajira za kitanganyika za kubeti na kucheza biko.
Ukiliosha libibi limoja la kizungu unapewa milioni saba kwa mwezi, unaweza kuwa tajiri kuliko hata MKUU WA MKOA wa Tanganyika.
Haya endelea kupalilia viazi , vikikomaa ukaoge vumbi la hicho kijiji chenu kikubwa.Hakuna Raha yeyote ya maisha Kwa kazi ya kuosha mavi mwaisa hata upewe ujira kama wa Rais Kwa mwezi ππ
Kinamdude wanaraha gani??,kina Soka wanaraha gani??,kina mzee kibao wanaraha gani ??,na mwananchi wa njilinji ambaye hata mlo wa asubuhi kwake shida anaraha gani??,wakati nyinyi wapuuzi na wajinga mnakula buku 7000 ya propaganda za kijinga kabsaHakuna Raha yeyote ya maisha Kwa kazi ya kuosha mavi mwaisa hata upewe ujira kama wa Rais Kwa mwezi ππ
Uzuri wa Pesa ukipata hawatakuuliza umepata wapi zaidi ya kukulamba miguu tuMy Take
Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu πππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh