Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Ongezeko la singles mothers linaendana na kampeni ya kataa ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam NDOA NI WIZIVijana wamegoma kuoa
Wewe ndo nimeona umeongea point kuliko wengine ila sema hujatoa RecomandationVijana wadogo wamegoma kuoa mapema sababu hawana maisha.
Mablaza waliojipata hawapati wake bora wa age zao. Na kuoa mabinti wadogo wanaogopa wanaona wanaoa watoto wadogo wasioendana umri na akili
Ongezeko la singles mothers linaendana na kampeni ya kataa ndoa.
Vit ya kutuoa haitashinda
Done[emoji122][emoji122]Kuoa wakati mwingine kunaenda na bahati ya mtu.