View attachment 2635574
Ndugulile alifikia hatua nzuri kwenye hili swala sijui hata wamekwama wapi maana ukipiga hesabu ni almost two years toka alivyo tweet kuwa linafanyiwa kazi.
Ubaya ni kwamba viongozi wetu wengi kuanzia wabunge hadi mawaziri wengi ni old school hawajui umuhimu wa hivi vitu ndio maana ndugu zetu wa Kenya wanatupiga bao.
Ni aibu sana kwa nchi kama Tanzania kukosa huduma muhimu kama hii kwa karne yni kitengo a sasa.