Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

Ni kweli DIGITAL business sasa hivi ndio inaongoza kwa kutoa mabilionea wanawapita hata wanaofanya biashara ya mafuta na madini

mafuta na madini hayafui dafu kwa utajiri kwa digital business
Uko sahihi, top five companies kwa utajiri duaniani ni Tech companies. Mfano: Google, Amazon and others. Digital business in potential kubwa sana kwa sasa na hata baadaye
 
"There is no hurry in Africa". Kama unashida ya haraka sana vuka boda kwa Uhuru mkuu. Au laah endelea kusubiri maana subira yavuta kheri.
 
Waziri wa tecknolojia na mawasiliano ni Daktari wa binadamu.
 
Wacha niufufue na Uzi huu pia. Suala la kutokuruhusu PayPal linatuumiza wengi sn
 
Wacha niufufue na Uzi huu pia. Suala la kutokuruhusu PayPal linatuumiza wengi sn
Screenshot_20230526-170822.png

Ndugulile alifikia hatua nzuri kwenye hili swala sijui hata wamekwama wapi maana ukipiga hesabu ni almost two years toka alivyo tweet kuwa linafanyiwa kazi.

Ubaya ni kwamba viongozi wetu wengi kuanzia wabunge hadi mawaziri wengi ni old school hawajui umuhimu wa hivi vitu ndio maana ndugu zetu wa Kenya wanatupiga bao.

Ni aibu sana kwa nchi kama Tanzania kukosa huduma muhimu kama hii kwa karne ya sasa.
 
View attachment 2635574
Ndugulile alifikia hatua nzuri kwenye hili swala sijui hata wamekwama wapi maana ukipiga hesabu ni almost two years toka alivyo tweet kuwa linafanyiwa kazi.

Ubaya ni kwamba viongozi wetu wengi kuanzia wabunge hadi mawaziri wengi ni old school hawajui umuhimu wa hivi vitu ndio maana ndugu zetu wa Kenya wanatupiga bao.

Ni aibu sana kwa nchi kama Tanzania kukosa huduma muhimu kama hii kwa karne yni kitengo a sasa.
Sahihi katika wizara ambako vijana sasa hivi wanatakiwa wapewe nafasi za juu ni wizara ya Teknolojia na habari na kitengo cha wizara ya mambo ya ndani cha Passport

Hivyo vitengo wazee hawaviwezi kwa dunia ya sasa hata wajitutumue.vipi kuwa wako up todate
 
Back
Top Bottom