Uko sahihi, top five companies kwa utajiri duaniani ni Tech companies. Mfano: Google, Amazon and others. Digital business in potential kubwa sana kwa sasa na hata baadayeNi kweli DIGITAL business sasa hivi ndio inaongoza kwa kutoa mabilionea wanawapita hata wanaofanya biashara ya mafuta na madini
mafuta na madini hayafui dafu kwa utajiri kwa digital business