Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani?

Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa, lakini hawajui majukumu ya wake zao.

Wengine wanaishia kuwa na misongo ya mawazo, kushinda bar, kuchanganikiwa na kujiongelesha wenyewe wenyewe; inayopelekea ukuaji wa tatizo la magonjwa ya akili.

Wakuu, nawasilisha.

:CarltonPls: :LeroyPls: :MufasaPls: :OrangeJustice:
 
K
Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani?

Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa,lakini hawajui majukumu ya wake zao:LeroyPls::MufasaPls::OrangeJustice:
Kazi ambayo mwnamke alipewa Dunia Kwa mume wake n moja tu KUTII, mwanaume ni Kupenda, tukifata hzo Kwa Kila mtu kutumiza kazi aliyoamuliwa, Misongo ya mawazo haitakuwepo.

Wanawake Muwatiii waume zenu(Ndani ya kutii Kuna mazngatio)

Wanaume Tuwapende wake zetu(ndani ya kupenda Kuna mazngatio)
 
Kazi yake ni kujiremba.

20240324_204821.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
K

Kazi ambayo mwnamke alipewa Dunia Kwa mume wake n moja tu KUTII, mwanaume ni Kupenda, tukifata hzo Kwa Kila mtu kutumiza kazi aliyoamuliwa, Misongo ya mawazo haitakuwepo.

Wanawake Muwatiii waume zenu(Ndani ya kutii Kuna mazngatio)

Wanaume Tuwapende wake zetu(ndani ya kupenda Kuna mazngatio)
Ebu tuwekee hayo mazingatio kwa faida ya wengi
 
Ungeanza kwa kutueleza kazi/majukumu aliyokua anafanya mkeo ingependeza sana.
Baada ya kuchangia wote ukiwa pamoja na wewe; tutahitimisha majukumu sahihi ya mke; nasikia kuna wababa huwa wanawaogesha watoto na kuosha vyombo nyumbani, na kusema hayo ni majukumu yao.​
 
Back
Top Bottom