Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Shukuru Mungu ulipata pa kuanzia. Kuna wenzio wanasota mpaka leo hawajui waanzie wapi. Ualimu ukituliza akili unatoboa vizuri sana mi mwenyewe nimeanzia huko ila leo hata ada ya 10m kwa mwaka namlipia mtoto.
Dah!..wewe ni mpambanaji kweli kweli....hongera sana
 
Diploma anaishia TGTS H

Degree TGTS I

certificate TGTS G
 
Nimeshaondoka huko. Kama una ndg yako mwambie ..."" wekeza mamie"""...achana na Mimi ten Kaa mbali na moto
 
Akili huna wewe
 
We jamaa utakuwa...
1. Ni mwalimu
2. Au ulishawahi kuwa mwalimu ila sasa umehama kada.

#YNWA
Abadani siwezi kuwa kwenye kada la kipumbavu lenye watu waoga, walim ni waoga sana haloooo duuuh hata kwenye haki zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shukuru Mungu ulipata pa kuanzia. Kuna wenzio wanasota mpaka leo hawajui waanzie wapi. Ualimu ukituliza akili unatoboa vizuri sana mi mwenyewe nimeanzia huko ila leo hata ada ya 10m kwa mwaka namlipia mtoto.
Ada ulipe 10m unapiga mishe gan
 
mpwayungu village njoo uchukue point zako huku
 
SaWa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…