Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
But roughly inaweza kuwa ngapiUmri na cheo matters
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But roughly inaweza kuwa ngapiUmri na cheo matters
Hao wajinga sana. Yaani walikuomba mpaka rushwa ya ngono masikini, na ukawapa kwa kuwa hukuwa na option. Wajinga kabisa haoConnection tu.
Na sketi/nguo ya ndani ilihusika
"Kama sio fisadi Hakuna utajiri kwenye ajira"Lakini pana walimu wapo vijijini wametumia fursa walizokuta huko na wapo vizuri kiuchumi pia.
Kama sio fisadi Hakuna utajiri kwenye ajira
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..
Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupambanua mambo.
Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.
Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.
Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)
MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.
MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.
Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.
Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kuna watu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.
Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.
MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.
Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.
Sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.
Thus waadhiri walisifu na kuabudu kupata teuzi"Kama sio fisadi Hakuna utajiri kwenye ajira"
[emoji115][emoji115]
Hata kwa wahadhiri wa vyuo vikuu?????
Acha uongo kijana.Wanaopokea Hy 600+ ni wachache wengi mishahara tayari ina virus unakuta mkononi mwl anaondoka na 250+ bas
Daktari anaanza anakunja 1.4 point something.Noma sana walimu wenye miaka 9 kazini wenye bachelor saizi ndio wanapokea 990k
Daktari anayeanza anakunja 1.3m[emoji3]
Hatari sana
Ana gamba la diploma ya ualimu sijui kasomea korogwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpwayungu alikosa ualimu mwaka jana akajawa na jazba, akachukia walimu wote
Ukienda shule hakuna wa kukunyangasa hata kama kakuzidi cheo na mshahara.Mwl mkuu au mek au afs elm w utamnyenyekea kama unasaka cheo na vifursa uchwara. Kuna miamba hasa yenye digrii takatifu, sio zile za kuungaunga hadi tunawatongoza hao mabosi na wananyoshwa vzr tu.
Kipnd cha awam ya shetan mwenda kuzm ndo walianza kupandsha mabega.
Inategemea elimu Yako na daraja la mshahara ulioanzia.Professional teachers wanalipwa kiasi gani take home mwenye ufahamu
Uwe unaelewa kwanza kabla ya ku quote thread ya mtu.Unazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
Kuna uzi fulani wa waliokuwa wana apply mwaka jana, jamaa alikuwa analia na MtandaoAna gamba la diploma ya ualimu sijui kasomea korogwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa kakosa kazi ualimu kajaa sumu dhidi ya walimu wote duniani[emoji1787][emoji1787]
Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine.
Umeongea pointDaktari anaanza anakunja 1.4 point something.
Akikatwa Makato na bodi ya mkopo anabakiwa laki 8 na ushee.
Akikopa ndio kisanga kabisa
Wafanyakazi wa serikalini wote wanafanana Hali zao basi tu Kuna baadhi ha vitengo vina viposho vya hapa na. Pale.
Walimu wanekuwa na posho Kila mwezi mngona fujo zao mtaani
Anadhani tumesahauKuna uzi fulani wa waliokuwa wana apply mwaka jana, jamaa alikuwa analia na Mtandao
Shukurani sana mkuuInategemea elimu Yako na daraja la mshahara ulioanzia.
Na. Muda uliofanya kazi
Kwa. Mfano kama Kuna mwalimu Yuko around 50 hivi ana aliajiriwa kwa shahada ya kwanza straight from Chuo
Huyu ana basic yenye around 2.9m atakuwa kamaliza madaraja yote ya mshahara hadi TGTS I, na alianza na TGTS D.
Kama ni alianza na cheti kwa huo umri wake na amefanya kazi mda mrefu atakuwa na 1.6m TGTS G huko.
So inategemea
Pia uko upande gani serikalini Halmashauri, wizarani, taasisi za elimu huko Kuna marupurupu kibao
Hongera kwa kujikomboa mwenyewe. Kiukweli kazi ya ualimu inachangamoto nyingi ambazo zinaifanya kazi hii inaonekana mbaya na hasa kutokana na watawala waliopewa dhamana kuwa watu wa kuwanyanyasa walimu, watu wa kutokutoa sitahiki za walimu kwa muda muafaka. Hayo yote yanamfanya Mwalimu aonekane mtu wa dhiki hasa zaidi katika maeneo ya vijijini ambako haki za mwalimu ukanyagwa wazi wazi.Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..
Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupambanua mambo.
Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.
Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.
Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)
MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.
MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.
Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.
Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kuna watu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.
Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.
MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.
Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.
Sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.
Kujenga n kununua usafir bado unaona si kitu ?Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.