Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Ninapata allowance
(1)usafiri.
Zamani nilikuwa natumia miguu, nikakopa nikununua bodaboda ikawa inanisadia. Nadhani hii ndio Hali wanayoishi walimu kwa Sasa. Hujajiongeza utaishi Kwa taabu.

Kwa Sasa transport allowance IPO. Namshukuru Mungu.

(2) House allowance IPO. Awali nilipangisha. Nikakopa nikajenga Kwa taabu Sana.

Serikali inattuhadaa Sana hapa kujenga nyumba za walimu"kwio"

Najiuliza kwanini sikupata hii kazi mapema? Mwalimu asipojipanga ataishia kuishi maisha ya taabu.

(3) Heshima. Jamani hakuna Jambo muhimu katika maisha kama heshima.
Hata kusimamia uchaguzi ulikuwa hupati?
 
Professional teachers wanalipwa kiasi gani take home mwenye ufahamu
Bachelor...
Akianza Mshahara ni TGTS D baada ya kila miaka 3 anapanda daraja kwa TGTS E >> TGTS F >>> TGTS G hivyohivyo mpaka anastaafu au akifika kuwa mkuu wa Idara inakua ni LGSE.

Kwa diploma anaanza na TGST C then kupanda.

Ila ukiwa diploma utapanda mpaka TGTS G, then utaishia hapo mpaka ulete cheti cha bachelor ndio uendelee kupanda.

#YNWA
 
Sawa ila shukur kwa kdg upatacho mzee hata icho kuna watu mpk wanakufa hawapati, kwaio usiongee kwa kubeza kwamba et unaishia kujenga tu na kausafiri.
Sina mbaya ila, Niko halmashauri miaka 10 Moja wapo ya kazi nayoiona ya kifal-a huku Halmashauri ni UALIMU.

#YNWA
 
Yaani watu bwana. Hakuna kazi itakuoa kila kitu unachotaka. Shukuru hicho ulicho nacho. Muhimu uzima.

Zipo.

Wakati mwalimu mwenye bachelor anaanza na TGST D = 745k basi huko TRA wanaanza na Mil 1.8

Hawa wawili walikaa darasani wote miaka 3, wakalipa ada pamoja, chuo kilikuwa kimoja.

Ila tu sababu huyu kaajiriwa halmashauri huyu TRA basi huyu anamzudi huyu mshahara mara 3..!!!

Ndio maana tunataka Katiba Mpya ila walimu hawataki😅😅
 
1. Hiyo nyumba ni aina gani
2. Huo usafiri wa aina gani
3. Assets zipo
4. Kiwango cha liability.
5. ........
6. ......

#YNWA
Mkuu hatuwezi kulingana usafiri ni usafiri tu. Kama wewe una Rav 4 kuna mwingine ana Prado. Tayari hiyo ni tofauti kubwa. Lakini wote ni usafiri
 
Sasa mtu anaendesha boda atakuwaje na akili ule upepo huwa unapeperusha akili yote [emoji3]
Aisee juzi nilipita sehem nikakuta mabodaboda wanabishana Kua hakuna mwalimu wa shule ya msingi mwenye mshahara wa 1m nkacheka sana aisee..[emoji28]

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app

Mpaka mwalimu afike mil 1 basi unazungumzia level za TGTS G hukoo.

Mpaka afike huko itakua kasota sanaa plus bonge la deni NMB.

Kwahiyo Bodaboda walikuwa SAHIHI.

#YNWA
 
Usikariri kwamba kila mwalimu anakopa huko NMB wapo wanaopata hiyo pesa na hawajakopa ,

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mpaka mwalimu afike mil 1 kwenye mshaharq basi huyo kupata categorization za kutosha Tena hapo nachukulia kapandishwa bila longolongo.
Na huyo alianza na TGTS D, Je akianza na C UNAYAJUA maumivu yake mpaka kufika TGTS G huko kwenye mil?

#YNWA
 
Ninapata allowance
(1)usafiri.
Zamani nilikuwa natumia miguu, nikakopa nikununua bodaboda ikawa inanisadia. Nadhani hii ndio Hali wanayoishi walimu kwa Sasa. Hujajiongeza utaishi Kwa taabu.

Kwa Sasa transport allowance IPO. Namshukuru Mungu.

(2) House allowance IPO. Awali nilipangisha. Nikakopa nikajenga Kwa taabu Sana.

Serikali inattuhadaa Sana hapa kujenga nyumba za walimu"kwio"

Najiuliza kwanini sikupata hii kazi mapema? Mwalimu asipojipanga ataishia kuishi maisha ya taabu.

(3) Heshima. Jamani hakuna Jambo muhimu katika maisha kama heshima.
Nipende kukuambia uliharibu maisha yako mwenyewe ulipokopa na kwenda kujenga😂😂😂😂😂😂😂 mkopo sio kitu cha kujengea wekeza mambo yapo mengi ticha unafundishwa hadi psychology ila unakua zezeta kweli bado kazi ipo kwa walimu wetu kuwapa ujuzi ili waweze kuuhamisha kwa watoto wetu wanaowafundisha
 
Back
Top Bottom