Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #81
Kuna mzee wangu mmoj hiv aliwekew madawa kwemye chakula buguruni pale jamaaa wakaiba mali godauni. Aliumwa sana yanWengi wameuawa vibaya mno,yaan mno...kikatili I mean🙌
😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭Yan yule ukimruhus aelezee kfikaje pale kama hajalia yeye wewe utalia tu. Mana wana vipengele mzee sio poa
Wale ni China Tanzania civil security services.. kama sijakosea mpangilio wa maneno lakin neno China na Civil lipoNa hawa wanaolinda kwenye vituo vya mwendokasi ni Kampuni gani?
Kuna mmoja mdada yuko pale kisutu Brt.
Nawaza hyu ni mlinzi au muangaliaji maana ana mshundu na anatwmbea kizembe hvi.
Unaweza kufafanua kidogo...Kwa asilimia kubwa kwa experience yangu, walinzi wengi ni dakika 7 mbele dizaini kama nati imelegea mahali.
Walinzi na wenye ndugu na jamaa walinzi mnisamehe.
Suma JKT auJina kapuni ila ukifanikiwa kukaa na baadhi ya walinzi ukasikia wanayoongea utagundua kuna shida mahali.
Una ushuhuda wowote?Mfano jamaa wa Suma, wale jamaa wengi wao kuna kitu hakipo sawa kumkichwa
Ooh sorry....haya asanteNilisikia unaumwa, mungu ni mwema...!
namna hiyo 😂Alafu midemu sasa ina misambwanda ya kwenda
Wale wana inferiority complex. Nafsi zao zinawaaminisha kuwa walipaswa kuwa wanajeshi sababu ya mafunzo yao.Mfano jamaa wa Suma, wale jamaa wengi wao kuna kitu hakipo sawa kumkichwa
Nikifa mke wangu asiolewe hujambo? 🤣Walinzi wa sokoni wao hata wasipolipwa sawa tu.
kuna jamaa alikuwa mlinzi mlo aliokuwa anakula ni wa kiwango kingine zaidi ya yote ukihitaji sendo ama yeboyebo wee mwambie no tu unayovaaga kesho yake asubuhi fuata kwake .
matunda hadi alikuwa anatugawia sisi ma bachelor nk
Nabaki najiuliza hawa walinzi kazi kazi au kusukuma mageti tuu 😄namna hiyo 😂
😔Kuna mzee wangu mmoj hiv aliwekew madawa kwemye chakula buguruni pale jamaaa wakaiba mali godauni. Aliumwa sana yan
Ndio Mkuu, kuna jamaa watatu wapo Suma huwa wakija lindo lao wapo full mkebe kama komando vile.Una ushuhuda wowote?
Ofkooz unit price ya mlinzi mmoja ni almost 500 or around! Lakin huko chini ndo kuna balaa kazi inaanza tarehe 1 kulipwa tarehe 10 ya mwez mwingine. Ukiumwa wewe hata siku 3 kuna watu hapo watasaga meno kufukia gepu lakoWenye makampuni wanalipwa pesa nyingi kwa kila kichwa ,si chini ya laki 5 ila Maboss ndiyo wanawalipa hela hiyo tena hiyo 150 ni nyingi wengine wanalipwa kilo aka jiwe(laki 1).
Ndiyo maana wanakuwa wezi lindoni ,wanaiba vifaa.
Inaumiza sana mkuuHuu uzi unaweza kunifanya nikalia
Umaskini ni real! Na unfanya kaz moja adhim sana kwenye ubepar uliokomaa. Watu dunian hum wamesindikiza tu! Life still hurts.. no body care😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭
npo poa mkuu za u winga?Nikifa mke wangu asiolewe hujambo? 🤣
Alafu midemu sasa ina misambwanda ya kwenda