Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Ooh sorry....haya asante
Hu
That's life diversity, we suffer from what we didn't opt for! Inauma sana
 
Hu

That's life diversity, we suffer from what we didn't opt for! Inauma sana
😭😭😭 Biblia imeandikwa Kuna siku majuto ya wanadamu yatafikia level ya juu Hadi tutasema "NI KHERI MATUMBO YASIYO ZAA" ....Em fikiria nchi zinazopitia Vita huko...unaambiwa Ukraine mpaka sasa watu waliokufa ni more than 40005 ...means walizaliwa ili wapitie hayo?
 
Dhiki, machafuko, mateso, taharuki, maangamizi na maombolezo ni sehemu ya maisha yetu hapa duniani.

Watu wanaangamia duniani, wanaporwa haki zao, wanauliwa kwa kisingizio Cha kutafuta amani.

Haya yote ni kudhihirisha mfumo wenye ubinafsi duniani, utajiri na amani wanaufurahia wenye nguvu na siyo dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…