Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Umaskini ni laana.
 
Duh sasa huo mkopo una ulipaje kamanda
 
Kama nyumba yako/makazi yako ina mlinzi na we ni mwanamke jitahidi uwe down… ukiwa down wanajisikia vizuri sana.

Nyanyua mabega ushuhudie shege zao.

Niliwahi ishi nyumba moja ya mheshimiwa mmoja, hauchelewi kuwaona wanapigana wakichelewa kutoana lindoni, utashuhudia vumbi limetimka ujue tayari. Incharge wao mwenyewe mbabaifu basi tu tafrani, ni kazi ngumu sana.

Kuna mwamba mmoja huyo mrefu mweusiii, mlevi hatari, akilipwa mshahara tu haji kazini wiki 😂
 
Alichawiwa huyo
 
Dhiki kaka sasa tutafanyaje Tuache kwanza🤣🤣
 
Kulewa mule kila mshahara ukitoka! Ile kaz ina balaa mkuu.

Kukaa lindo masaa 12 kuna sehem unasimama atleast masaa 8. Ukitoka hapo maji mengi unalala hoi. Asee nikimuona mlinzi ana familia nafsi yangu inafedheheka sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…