Kazi ya Wasemaji wa Vilabu vya soka vya Tanzania ni ipi , Mbona vilabu vya Ulaya hakuna cheo hicho ?

Wasemaji wa team mkuu.

Kuna idara ya habari ya hizo team. Sema bado inakuwa chini ya meneja.

Usipotoshe
 
Mimi nadhani kanuni zingebadilishwa tu ili kuondoa huu uswahili na u much know wa hawa wasemaji wa sasa wa vilabu.

Na kwenye wachambuzi, iwe hivyo hivyo! Kama hujawahi kucheza mpira wa miguu, usiwe mchambuzi wa mpira.
 
Hao ni wapigaji tu na waganga njaa, hakuna chochote kile wanachofanya chenye manufaa kwa vilabu na kwa kuwa vilabu vyenyewe navyo ni migodi ya wachumia tumbo wamewaweka ili wale nao. That's all.
 
Kwenye siasa huwa nakukubali ila huku kwenye michezo ni mtupu sana angalia hapo unamtolea mfano alikamwe badala umtaje ahmed Ali
 
Jibu... Soka letu Kivyetuvyetu....
 
Nimecheka kifala sana aisee ujinga ni mwingi tunaúkumbatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…