Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
- Thread starter
- #21
Hilo Tangazo sio la Tanga cement dada.Tangazo la kitapeli kabisa, Tanga cement wana portal yao ya kupokea maombi ya kazi
Au unajua Tanga nzima kiwanda cha cement ni Tanga cement pekee?
Vijana wa siku hizi hamtaki kujifunza zaidi ni ubishi wa kijinga na ujuaji.