Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Ni kweli inahitaji moyo. Nilibahatika kusaidia kwenye baadhi ya nursing homes zinazowatunza wazee Uingereza. Pia chuoni kwetu tulikuwa tukisaidia 'homeless' (tulikuwa tukiwaita gentlemen/women of the road) - huko kuna watu wanaamua kukata mawasiliano na mtu yeyote na wanaishi kivyao. Hawana makazi na wanalala sehemu yoyote wanayoweza kulala. Kwenye nchi za wenzetu, serikali zao zimeweka utaratibu wa sehemu wanayoweza kupata chakula na taarifa mbalimbali, kama vile kusoma magazeti, kuangalia TV, etc na mimi nilikuwa mmoja wa wanafunzi waliojitolea kwenda kila wiki siku moja kusaidia kuwapa chakula, kuosha vyombo vyao, kufanya usafi wa mazingira, n.k. Kule kuna vijana wengi wanajitolea kufanya kazi kama hizo (hazina malipo maana usafiri, nk ni juu yako). Nilikutana na watu wenye moyo wa kuwasaidia wenzao, lakini pia kuna kero mtu unaweza kukwazika, pale ambapo unayemsaidia anapokutukana au kuto'appreciate' kazi unayoifanya. Lakini kwangu yalikuwa maandalizi ya kazi ya kuwasaidia watu ambayo ningeifanya baadaye. Lakini inahitaji kuwa na moyo mkuu wa uvumilivu maana kwa baadhi ya nursing homes, unakuta ni wazee ambao wamepoteza kumbukumbu kabisa na wana'behave' kama mtoto anayetambaa.
 
Ulikua mji gani?
 
Waafrica tuna laana, mtu uache ardhi imejaa rutuba kukuki TZ kwenda ulaya kizoa kinyesi cha madingi... ha ha ha ha
Rutuba ziko wapi, sema kwamba kuna fursa ila akili ya kuona fursa ndo hatuna mpaka utoke nje ya nchi urudi na exposure ndo uanze kutambua fursa ziliopo hapa, wengi tupo tunashibda kwenye vijue vya kaahawa kujadili Simba na Yanga......70% ya watanzania hatuna muamuko na ni wajinga naturally kwa sababu za propaganda za siasa za ndani.
 
Rutuba ziko wapi, sema kwamba kuna fursa ila akili ya kuona fursa ndo hatuna mpaka utoke nje ya nchi urudi na exposure ndo uanze kutambua fursa ziliopo hapa, wengi tupo tunashibda kwenye vijue vya kaahawa kujadili Simba na Yanga......70% hatuna muamuko na ni wajinga.
Sio ujinga wala sio exposure. Liangaliwe suala la facilities kwanza.. mbona kuna watu nawajua mm wamesoma India pale Delhi na mpaka leo tunasaka nao ajira hapa. Watu fursa wanaziona shida ipo nje ya kuona fursa
 
Back
Top Bottom