Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli inahitaji moyo. Nilibahatika kusaidia kwenye baadhi ya nursing homes zinazowatunza wazee Uingereza. Pia chuoni kwetu tulikuwa tukisaidia 'homeless' (tulikuwa tukiwaita gentlemen/women of the road) - huko kuna watu wanaamua kukata mawasiliano na mtu yeyote na wanaishi kivyao. Hawana makazi na wanalala sehemu yoyote wanayoweza kulala. Kwenye nchi za wenzetu, serikali zao zimeweka utaratibu wa sehemu wanayoweza kupata chakula na taarifa mbalimbali, kama vile kusoma magazeti, kuangalia TV, etc na mimi nilikuwa mmoja wa wanafunzi waliojitolea kwenda kila wiki siku moja kusaidia kuwapa chakula, kuosha vyombo vyao, kufanya usafi wa mazingira, n.k. Kule kuna vijana wengi wanajitolea kufanya kazi kama hizo (hazina malipo maana usafiri, nk ni juu yako). Nilikutana na watu wenye moyo wa kuwasaidia wenzao, lakini pia kuna kero mtu unaweza kukwazika, pale ambapo unayemsaidia anapokutukana au kuto'appreciate' kazi unayoifanya. Lakini kwangu yalikuwa maandalizi ya kazi ya kuwasaidia watu ambayo ningeifanya baadaye. Lakini inahitaji kuwa na moyo mkuu wa uvumilivu maana kwa baadhi ya nursing homes, unakuta ni wazee ambao wamepoteza kumbukumbu kabisa na wana'behave' kama mtoto anayetambaa.
Yes , huyo dada amevumilia kwasababu anajua matukio yote yana rekodiwa, angejichukulia Sheria tu nikurudishwa Africa next flight.Camera imeongeza uvumilivu kidogo
Ulikua mji gani?Ni kweli inahitaji moyo. Nilibahatika kusaidia kwenye baadhi ya nursing homes zinazowatunza wazee Uingereza. Pia chuoni kwetu tulikuwa tukisaidia 'homeless' (tulikuwa tukiwaita gentlemen/women of the road) - huko kuna watu wanaamua kukata mawasiliano na mtu yeyote na wanaishi kivyao. Hawana makazi na wanalala sehemu yoyote wanayoweza kulala. Kwenye nchi za wenzetu, serikali zao zimeweka utaratibu wa sehemu wanayoweza kupata chakula na taarifa mbalimbali, kama vile kusoma magazeti, kuangalia TV, etc na mimi nilikuwa mmoja wa wanafunzi waliojitolea kwenda kila wiki siku moja kusaidia kuwapa chakula, kuosha vyombo vyao, kufanya usafi wa mazingira, n.k. Kule kuna vijana wengi wanajitolea kufanya kazi kama hizo (hazina malipo maana usafiri, nk ni juu yako). Nilikutana na watu wenye moyo wa kuwasaidia wenzao, lakini pia kuna kero mtu unaweza kukwazika, pale ambapo unayemsaidia anapokutukana au kuto'appreciate' kazi unayoifanya. Lakini kwangu yalikuwa maandalizi ya kazi ya kuwasaidia watu ambayo ningeifanya baadaye. Lakini inahitaji kuwa na moyo mkuu wa uvumilivu maana kwa baadhi ya nursing homes, unakuta ni wazee ambao wamepoteza kumbukumbu kabisa na wana'behave' kama mtoto anayetambaa.
Mmh £10 kwa lisaa!!!!!Hizo kazi Kwa Ulaya ndio zinalipa sana, watu wamejenga majumba Africa Kwa hizo kazi.
Kwa United Kingdom watu wanalipwa mpaka £10 Kwa saa Kwa hizo mishe, so Kwa wiki mtu kupata £500 ni kawaida.
High Barnet, North London.Ulikua mji gani?
Ok Mimi niliwahi kuishi South EastHigh Barnett, North London.
Yes.Mmh £10 kwa lisaa!!!!!
Bora ni fanye kazi kwenye tube terminal napata pesa zaidi ya hiyo na haina maudhi kama hayoYes.
Walahi yan nampiga katerero mpaka anakuwa kijana mbichiMzee wa hovyo enzi zake huwenda alikuwa ana pombwaa na mbwaa...
Mi ninge mtia kidole cha mnduku.
NakaziaNeno moja tu "ZINGATIA MAOKOTO!"
Hii ndio dawaTena km vp unayalamba km denda kuonesha uko kikazi zaidi
Rutuba ziko wapi, sema kwamba kuna fursa ila akili ya kuona fursa ndo hatuna mpaka utoke nje ya nchi urudi na exposure ndo uanze kutambua fursa ziliopo hapa, wengi tupo tunashibda kwenye vijue vya kaahawa kujadili Simba na Yanga......70% ya watanzania hatuna muamuko na ni wajinga naturally kwa sababu za propaganda za siasa za ndani.Waafrica tuna laana, mtu uache ardhi imejaa rutuba kukuki TZ kwenda ulaya kizoa kinyesi cha madingi... ha ha ha ha
Ila huko nafasi ni chache kupata ni bahati sana.Bora ni fanye kazi kwenye tube terminal napata pesa zaidi ya hiyo na haina maudhi kama hayo
Sio ujinga wala sio exposure. Liangaliwe suala la facilities kwanza.. mbona kuna watu nawajua mm wamesoma India pale Delhi na mpaka leo tunasaka nao ajira hapa. Watu fursa wanaziona shida ipo nje ya kuona fursaRutuba ziko wapi, sema kwamba kuna fursa ila akili ya kuona fursa ndo hatuna mpaka utoke nje ya nchi urudi na exposure ndo uanze kutambua fursa ziliopo hapa, wengi tupo tunashibda kwenye vijue vya kaahawa kujadili Simba na Yanga......70% hatuna muamuko na ni wajinga.
Hamna kazi, zipo ni nguvu zako tu, labda kama huna karatasi geniune.Ila huko nafasi ni chache kupata ni bahati sana.
Wataka nani akupe facility mkuu?Sio ujinga wala sio exposure. Liangaliwe suala la facilities kwanza.. mbona kuna watu nawajua mm wamesoma India pale Delhi na mpaka leo tunasaka nao ajira hapa. Watu fursa wanaziona shida ipo nje ya kuona fursa