DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Akili yako ikiwa huru huwezi kukubali kuwa mtumwa wa mtu ikiwa Rais anataka Vita anabidi aende yeye akapambane Frontline na sio Mimi.nilishawaza sana kama wewe inakuwaje wanasiasa wanawaamulia wanajeshi na raia hali ya kuishi?
Akili yako ikiwa huru huwezi kukubali kuwa mtumwa wa mtu ikiwa Rais anataka Vita anabidi aende yeye akapambane Frontline na sio Mimi
Hiyo ni ajali kazini. Ni kama Risk katika BiasharaKuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie.
Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja.
Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi mazito mgongoni ili umtumikie Mwanasiasa.
"Piga kazi utapumzika ukifa"🎶naaapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa🎶
Atapata muda mwingi wa kupumzika kaburini"Piga kazi utapumzika ukifa"
Naam "PAIN IS MY MEDICINE"Atapata muda mwingi wa kupumzika kaburini
ndio kazi waliochagua hiyo mkuuKuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie.
Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja.
Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi mazito mgongoni ili umtumikie Mwanasiasa.
MAJESHI KAMA YAPO DAMUNI ,,,RAHA SANAANaam "PAIN IS MY MEDICINE"
Alafu hao wana siasa baada ya muda wana kutana wanaongea na wanashikana mikono na wanakubaliana kusitisha vita , wakati nyinyi upande wa wanajeshi maelfu yenu mumesha uawa na kujeruhiwa.
Ila ndo hivyo Mungu ndo alivyo iumba dunia kuwa kila sehemu ni razima kuwepo kiongozi mwenye kufanya maamuzi kwa ajili ya wengi, tofauti na hapo hii dunia haitakalika.
Ila zamani ndo walikuwa na utaratibu mzuri, ilikuwa ikitokea vita ilikuwa ni razima mfalme na watoto wake wa kiume waende msitari wa mbele kupigana sambamba na wanajeshi wao na ndio maana zamani wafalme wengi wameuawa wakiwa vitani.
Lakini dunia ya sasa wakati nyinyi wanajeshi mpo uwanja wa vita mnauawa na kuteseka wana siasa wanakuwa kwenye majumba yao ya kufahari , na watoto wao wakichakata mbususu za malaya.
Hata Netanyau yupo Tel aviv kwenye nyumba yake ya kufahari ana punga upepo wakati watoto wa waisrael wenzie wapo gaza wanauawa na wengine wanatiwa vilema hivyo hilo ni kawaida kwa dunia nzima.Kiongozi wa hamas Ismael Haniyeh anakula maisha tu Qatar.
Unaambiwa ana utajiri wa dollar Bil 4.