Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie.

Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja.

Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi mazito mgongoni ili umtumikie Mwanasiasa.
 
Nilishawaza sana kama wewe inakuwaje wanasiasa wanawaamulia wanajeshi na raia hali ya kuishi?
 
Akili yako ikiwa huru huwezi kukubali kuwa mtumwa wa mtu ikiwa Rais anataka Vita anabidi aende yeye akapambane Frontline na sio Mimi

Hii ilikuwaga zamani sana enzi hizo za utawala wa kifalme.

Mfalme ni lazima na yeye awe frontline apigane hiyo vita. Na kama vipi, anaweza kuuawa huko vitani.

Lakini sasa mambo yamebadilika.
 
Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie.

Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja.

Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi mazito mgongoni ili umtumikie Mwanasiasa.
Hiyo ni ajali kazini. Ni kama Risk katika Biashara

Si ni ajira? Si wanalipwa?
 
Alafu hao wana siasa baada ya muda wana kutana wanaongea na wanashikana mikono na wanakubaliana kusitisha vita , wakati nyinyi upande wa wanajeshi maelfu yenu mumesha uawa na kujeruhiwa.

Ila ndo hivyo Mungu ndo alivyo iumba dunia kuwa kila sehemu ni razima kuwepo kiongozi mwenye kufanya maamuzi kwa ajili ya wengi, tofauti na hapo hii dunia haitakalika.

Ila zamani ndo walikuwa na utaratibu mzuri, ilikuwa ikitokea vita ilikuwa ni razima mfalme na watoto wake wa kiume waende msitari wa mbele kupigana sambamba na wanajeshi wao na ndio maana zamani wafalme wengi wameuawa wakiwa vitani.

Lakini dunia ya sasa wakati nyinyi wanajeshi mpo uwanja wa vita mnauawa na kuteseka wana siasa wanakuwa kwenye majumba yao ya kufahari , na watoto wao wakichakata mbususu za malaya.
 
Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie.

Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja.

Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi mazito mgongoni ili umtumikie Mwanasiasa.
ndio kazi waliochagua hiyo mkuu
 
Ni ukweli mchungu unaambiwa mataifa mawili yapo vitani ila Rais kanyonga tai na suti wewe unaeenda kufa vitani unaambulia kuzikwa kwa kupigiwa salute au kuwa mlemavu wa kudumu.

Hizi kazi za majeshi ni kazi za kimaskini wanasiasa wa ngazi za juu watoto wao huwa hawaingii kwenye majeshi na wakiingia wanapandishwa vyeo chapchap ili awe mtoa amri na siyo mtendaji
 
Alafu hao wana siasa baada ya muda wana kutana wanaongea na wanashikana mikono na wanakubaliana kusitisha vita , wakati nyinyi upande wa wanajeshi maelfu yenu mumesha uawa na kujeruhiwa.

Ila ndo hivyo Mungu ndo alivyo iumba dunia kuwa kila sehemu ni razima kuwepo kiongozi mwenye kufanya maamuzi kwa ajili ya wengi, tofauti na hapo hii dunia haitakalika.

Ila zamani ndo walikuwa na utaratibu mzuri, ilikuwa ikitokea vita ilikuwa ni razima mfalme na watoto wake wa kiume waende msitari wa mbele kupigana sambamba na wanajeshi wao na ndio maana zamani wafalme wengi wameuawa wakiwa vitani.

Lakini dunia ya sasa wakati nyinyi wanajeshi mpo uwanja wa vita mnauawa na kuteseka wana siasa wanakuwa kwenye majumba yao ya kufahari , na watoto wao wakichakata mbususu za malaya.

Kiongozi wa hamas Ismael Haniyeh anakula maisha tu Qatar.
Unaambiwa ana utajiri wa dollar Bil 4.
 
Vip nchi yako ikivamiwa kijeshi kwa ajili ya kuchukuliwa maligafi zenu ikiwemo dhahabu,pia wananchi na familia zenu mkiwa mnachukuliwa mateka na mnauliwa mfululizo na hilo jeshi ambalo limewavamia.

Je utakubaliana na hyo hali? Utakubali jeshi lenu lisijibu chochote?

Siyo kila vita ina maslahi kisiasa mkuu. Wewe ni Dr gani ambaye umeshindwa kujielimisha japo kwa suala dogo kama hili?
 
Kiongozi wa hamas Ismael Haniyeh anakula maisha tu Qatar.
Unaambiwa ana utajiri wa dollar Bil 4.
Hata Netanyau yupo Tel aviv kwenye nyumba yake ya kufahari ana punga upepo wakati watoto wa waisrael wenzie wapo gaza wanauawa na wengine wanatiwa vilema hivyo hilo ni kawaida kwa dunia nzima.

Mwana jeshi ni mtumwa wa mwana siasa katika nchi zote duniani.

Alafu kuhusu utajiri wa Ismael Haniyer ume tulisha matango pori , hivi kwanza $4bilion unaichukuaje kwanza?
 
Back
Top Bottom