MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 3,550
- 12,239
- Thread starter
- #41
Excellent..mkuu watu wanahisi tunadharau hizi kazi pengine,lakn ukweli ni bora ukalime tuMfano Mimi nalipwa 600k nabidi kutoa hela ya Mama nyumbani Kama 100k chakula pia mzee wangu 80k then na mimi nilipe bili zangu na hapo sijaoa nipo single
Lakini Sina Maisha nahisi hizi Kazi zetu za ualimu ni with lakini kufikia goals za kusaidia jamii na kuacha Legacy kwa 600k ni uongo
That way nimeamua kuwa mpole