Kazi za ovyo kwenye nchi hii

Kazi za ovyo kwenye nchi hii

Mfano Mimi nalipwa 600k nabidi kutoa hela ya Mama nyumbani Kama 100k chakula pia mzee wangu 80k then na mimi nilipe bili zangu na hapo sijaoa nipo single

Lakini Sina Maisha nahisi hizi Kazi zetu za ualimu ni with lakini kufikia goals za kusaidia jamii na kuacha Legacy kwa 600k ni uongo
That way nimeamua kuwa mpole
Excellent..mkuu watu wanahisi tunadharau hizi kazi pengine,lakn ukweli ni bora ukalime tu
 
Mfano Mimi nalipwa 600k nabidi kutoa hela ya Mama nyumbani Kama 100k chakula pia mzee wangu 80k then na mimi nilipe bili zangu na hapo sijaoa nipo single

Lakini Sina Maisha nahisi hizi Kazi zetu za ualimu ni with lakini kufikia goals za kusaidia jamii na kuacha Legacy kwa 600k ni uongo
That way nimeamua kuwa mpole
Shukuru hata kwa hiko kidogo unachokipata, angalau una uhakika wa maisha.

Kuna mtu anatafuta kazi hata ya kumlipa aftatu kwa siku na hajapata.
 
Shukuru hata kwa hiko kidogo unachokipata, angalau una uhakika wa maisha.

Kuna mtu anatafuta kazi hata ya kumlipa aftatu kwa siku na hajapata.
Njoo Mkuu ufundishe hapa Temeke secondary Mimi nije huko kwako
 
Assalaam aleykum,

Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana.

1. ASKARI POLISI

i. Magereza.
ii. Mrafiki

2. WALIMU (kufundisha)

Hizi kazi watumishi wake wamejaa njaa, dhiki, ulafi na shida tupu.

3.
4.
5.
Uchawa
 
Tuache unafki kuna kazi mtu anafanya tu vile hana options. Huo ndio ukweli mchungu
Mkuu mimi nina ndugu wanafanya hizo kazi wengine wameanza tangu 2012,lakin wanavibanda vya kukaa tu... Njaa zimewajaa wanaombaomba tu utaskia "dogo tutumie hata kilo 20 za mchele nile na wanao hapa"
 
Mimi sina kazi mkuu

Kama uko tayari kuwa jobless sawa tubadilishane basi nitashukuru
Unaweza fundisha Mkuu English Fanya mpango uende manispaa ya Temeke Kuna Ajira za Muda unapewa 500k Mkuu so we Kama Mwalimu njoo huku Temeke
 
Assalaam aleykum,

Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana.

1. ASKARI POLISI
i. Magereza.
ii. Mrafiki

2. WALIMU (kufundisha)
Hizi kazi watumishi wake wamejaa njaa, dhiki, ulafi na shida tupu.

3.
4.
5.
Kazi ya kuwasahuri watu kwenye mitandao ya jamii, kazi wanazotakiwa kufanya wakati kazi hizo huzijui zikoje
 
Unaweza fundisha Mkuu English Fanya mpango uende manispaa ya Temeke Kuna Ajira za Muda unapewa 500k Mkuu so we Kama Mwalimu njoo huku Temeke
Asante mkuu, ngoja niichangamkie hiyo fursa, kufundisha naweza
 
Kazi ya kuwasahuri watu kwenye mitandao ya jamii, kazi wanazotakiwa kufanya wakati kazi hizo huzijui zikoje
Acha pupa ya kuandika,isome tena hiyo comment yako halafu urudie kuandika, sijakuelewa.
 
Wanajikuta maisha wamemaliza kumbe wanaishi kwa shemeji zao wanakuja kujifariji huku.

Mtu anayejua kupambana hata siku moja hawezi kandia kazi ya mtu mwingine
Tulia hivyohivyo dawa ikuingie,usifikiri humu kila mtu anakaa dar
 
Unavyoziita za hovyo kuna mtu yeye anafanya by passion kabisa.

Yani yeye unakuta anaifurahia kazi ya ualimu na anaipenda kwa sababu ndio passion yake.

Waache, wewe tafuta/fanya kazi unayoona inakufaa.
Mfano hata wewe nkikwambia njoo tufanye kilimo utaona nakudharau ila haya ni maisha yetu,na siwezi zidiwa kipato na mwalimu NAKUKATAZA
 
Nilipokuwa mdogo mwinjumaaa mimimi eeh (ah sorry,Basi nenda mimi) nilikuwa sielewi kwanini mtu anakuwa Mwalimu na mshahara mdogo ule,siku hizi naelewa,hata wao hawapendi huo mshahara lakini hawana jinsi

Ndio kama mchangiaji mmoja hapo juu amesema hiyo ndio kazi inawaweka mjini,waiache wafanye nini na hawana capital.
 
Watu waakula rushwa ikija kufika jioni ana zaidi ya laki. Trafiki wanakula rushwa wanapata ela kuliko hao mabank tellers wanaoshinda kwenye AC wamefunga tai. Shida trafiki wengi wazinzi na walevi
Niliwahi kusikia mshahara wa Bank tellers ni around laki 8 , traffic akichukua buku buku Hiace zote, ma bus akachukua, private hizi ndogo nako hakosi laki kwa siku

Ila nahisi huwa wanakabidhi kiasi fulani kwa RTO bila hivo unatolewa😁
 
Naskia lazima umpe kiasi RTO akuweke sehemu ya barabara nzuri.
Yah mkuu mishahara yao ina range humo na wengine wanaanza na 450000 sema unakuwa unapanda kila mwaka halafu bahati yao wana access na mikopo kirahisi.
 
Mfano hata wewe nkikwambia njoo tufanye kilimo utaona nakudharau ila haya ni maisha yetu,na siwezi zidiwa kipato na mwalimu NAKUKATAZA
Ulichoandika hakina uhusiano na nilichoandika.

Kwenye post yangu uliyoninukuu sijaongelea kipato.

sijaongelea kuhusu wewe kupitwa kipato na mwalimu.

Nimesema mtu anaweza akafanya kazi si kwasababu ya mshahara wa kazi husika, bali kwa sababu ya mapenzi yake na kazi husika (nikatolea mfano ualimu).
Usiwapangie kwa sababu wewe huipendi kazi hiyo.

Unanikataza nini?
 
Back
Top Bottom