Wenye akili za kijinga?.Anakubalika kwa sukuma gang na wajinga wenzie kama wewe lakini wenye akili hata siku moja hawamkubali Magufuri.
Magufuli ni kiongozi pekee wa Tanzania ambaye mpaka sasa anawaumiza na kuwaogopesha mafisadi na wahuni, ili hali amekufa!Wewe mtoa mada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwizi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.
Nyerere hii anaongelewa na calible za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.
Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
yeye ndiye aliyekua fisadi kuu, ziko wapi 1.5 Trillion? Mbona alimfukuza Prof. Assad?Magufuli ni kiongozi pekee wa Tanzania ambaye mpaka sasa anawaumiza na kuwaogopesha mafisadi na wahuni, ili hali amekufa!
Na ataendelea kuwapa shida maisha yao yote - jina lake likitajwa tu, utawasikia wanavyoporomosha matusi, hiyo ni dalili za woga wa kuogopa mfu! Uongozi wake na chuki yake ya kuwachukia wababaishaji, mpaka leo inawaogofya sana! RIP chuma cha pua
Kwa hiyo ulifurahia uchafuzi alioufanya magufuri kipindi cha uchaguzi?nazani utakuwa na matatizo,sababu hata waliokuwa huko nyuma viongozi wakubwa,hawakufurahishwa na alichokifanya ndiyo maana walimsnich mapema kabla hajaharibu inchiBro/sister. Hv democasia ni nini?
nchi gan inafuata mfumo wa democrasia km sii maigizo tuu?
#najua utakuja na mfano wa nchi km USA;:: nami nakuambia refer uchaguz wa 2016 USA
Haituogofyi, bali tunasherehekea IBILISI kufa kabla yetu. Alivyokuwa anaiba kura zote za Uchaguzi alidhani ataishi mileleMagufuli ni kiongozi pekee wa Tanzania ambaye mpaka sasa anawaumiza na kuwaogopesha mafisadi na wahuni, ili hali amekufa!
Na ataendelea kuwapa shida maisha yao yote - jina lake likitajwa tu, utawasikia wanavyoporomosha matusi, hiyo ni dalili za woga wa kuogopa mfu! Uongozi wake na chuki yake ya kuwachukia wababaishaji, mpaka leo inawaogofya sana! RIP chuma cha pua
Baada ya kuona kudai legacy feki imekataliwa naona sasa mnamwingiza Nyerere. Hatudanganyiki!Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Kuwa na heshimaHivi Nyerere ni wa kumfananisha na Uchafu?
Punguza hasira mkuuWew kibwetele ulishawahi ona dikteta anaachia uongozi kwa hiari yake au umeshiba magimbi huko unakuja kuropoka. Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwez mlinganisha na pimbi Kama huyo mla rushwa fisadi mkuu.
Hata mimi ilinishangaza sanaUkitaka kujua huu Uzi ni wa Akina Nauye,Makamba,Lissu,lema na wengine wanaopingana na Magufuri,Yaani umeandikwa saaa 12:52,kuanzia saa saba Na dakika moja mpaka na dakika 20 wote wamempinga mleta mada wao wa mchongo(Kumchanganya JPM na JK.Nyerere,baada ya hapo wakaja wanao mkubari JPM,inaonyesha haya mambo yanatengenezwa alafu wanapeana taharifa waanze kupost ujinga wao kwa wakati mmoja bila kujua tupo humu akina great thinker.
Naona mmepata wa kuwabembelezaUsimweke Hayati Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kwenye kundi moja na huyo kituko. Ni kashfa kubwa na dharau kwa baba yetu mpendwa wa taifa.
Nyerere alikua a state man, a visionary leader, a man of unquestionable integrity and very intelligent man. Mungu aendelee kumpa punziko jema la milele.
Huyo mwingine ni aibu ya taifa, hakuwa na akili, hakuwa na emotional intelligence, mkabila, mwongo, mbadhirifu,na ata kiingereza hakuwa anajua kuongea. Ni abu kwa taifa
JPM alikua kiongozi sio tu wa kuigwa bali wa kuenziwa. Ni aina ya viongozi wa pekee sana ambao hutokea kwa uchache dunian na hufanya makubwa snaa... Historia ya JPM ktk uongozi nawez ifananisha na M. SOKOINE. pamoja na kuwa mafisadi na wahujumu uchumi wameweka fedha sana kuifuta historia yake lkn bado jamaa yupo miongoni mwetu mpaka hii leo. JPM ni kiongoz mzalendo na shupavu haijawah kutokea tangu enzi za nyerere kupita.Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Magufuli gani? Huyu aliyeongoza ufisadi wa manunuzi yasiyofuata tender process wala bajeti?Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.
Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?
Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.
Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!
View attachment 2237718
View attachment 2237721
Wafuasi wa Jiwe ni watu maskini wajinga na wasio na uelewa wowote wa mambo..Tatizo alikuwa na mapungufu mengi,anaungwa mkono na kundi la watu wachache,fikiria hata makamu wake wa rais kipindi kile alikuwa hamkubali,alivuruga demokrasi kuwapitisha wabunge wa CCM bila kupigwa,kipindi chake maiti zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba,na watu walikimbia inchi
Uchumi wa katikati ya kiuno?Acha ujinga weye!Wenye akili za kijinga?.
Kwanini kumchukia mtu alie ipeleka nchi katika uchumi wa kati.
Unajiskiaje unapo pita ubungo pale, ama kimara mail moja.
Magu angekuwa hai mbaka 2025 unge tembea kwenye njia nane kuanzia kimara mbaka chalinze.