Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Anakubalika kwa sukuma gang na wajinga wenzie kama wewe lakini wenye akili hata siku moja hawamkubali Magufuri.
Wenye akili za kijinga?.

Kwanini kumchukia mtu alie ipeleka nchi katika uchumi wa kati.

Unajiskiaje unapo pita ubungo pale, ama kimara mail moja.
Magu angekuwa hai mbaka 2025 unge tembea kwenye njia nane kuanzia kimara mbaka chalinze.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Ukitaka kujua huu Uzi ni wa Akina Nauye,Makamba,Lissu,lema na wengine wanaopingana na Magufuri,Yaani umeandikwa saaa 12:52,kuanzia saa saba Na dakika moja mpaka na dakika 20 wote wamempinga mleta mada wao wa mchongo(Kumchanganya JPM na JK.Nyerere,baada ya hapo wakaja wanao mkubari JPM,inaonyesha haya mambo yanatengenezwa alafu wanapeana taharifa waanze kupost ujinga wao kwa wakati mmoja bila kujua tupo humu akina great thinker.
 
Wewe mtoa mada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwizi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.

Nyerere hii anaongelewa na calible za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.

Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
Magufuli ni kiongozi pekee wa Tanzania ambaye mpaka sasa anawaumiza na kuwaogopesha mafisadi na wahuni, ili hali amekufa!
Na ataendelea kuwapa shida maisha yao yote - jina lake likitajwa tu, utawasikia wanavyoporomosha matusi, hiyo ni dalili za woga wa kuogopa mfu! Uongozi wake na chuki yake ya kuwachukia wababaishaji, mpaka leo inawaogofya sana! RIP chuma cha pua
 
yeye ndiye aliyekua fisadi kuu, ziko wapi 1.5 Trillion? Mbona alimfukuza Prof. Assad?
 
Bro/sister. Hv democasia ni nini?

nchi gan inafuata mfumo wa democrasia km sii maigizo tuu?

#najua utakuja na mfano wa nchi km USA;:: nami nakuambia refer uchaguz wa 2016 USA
Kwa hiyo ulifurahia uchafuzi alioufanya magufuri kipindi cha uchaguzi?nazani utakuwa na matatizo,sababu hata waliokuwa huko nyuma viongozi wakubwa,hawakufurahishwa na alichokifanya ndiyo maana walimsnich mapema kabla hajaharibu inchi
 
Magufuli ni kiongozi pekee wa Tanzania ambaye mpaka sasa anawaumiza na kuwaogopesha mafisadi na wahuni, ili hali amekufa!
Na ataendelea kuwapa shida maisha yao yote - jina lake likitajwa tu, utawasikia wanavyoporomosha matusi, hiyo ni dalili za woga wa kuogopa mfu! Uongozi wake na chuki yake ya kuwachukia wababaishaji, mpaka leo inawaogofya sana! RIP chuma cha pua
Haituogofyi, bali tunasherehekea IBILISI kufa kabla yetu. Alivyokuwa anaiba kura zote za Uchaguzi alidhani ataishi milele
 
Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
Baada ya kuona kudai legacy feki imekataliwa naona sasa mnamwingiza Nyerere. Hatudanganyiki!
 
Wew kibwetele ulishawahi ona dikteta anaachia uongozi kwa hiari yake au umeshiba magimbi huko unakuja kuropoka. Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwez mlinganisha na pimbi Kama huyo mla rushwa fisadi mkuu.
Punguza hasira mkuu
 
Ukitaka kujua huu Uzi ni wa Akina Nauye,Makamba,Lissu,lema na wengine wanaopingana na Magufuri,Yaani umeandikwa saaa 12:52,kuanzia saa saba Na dakika moja mpaka na dakika 20 wote wamempinga mleta mada wao wa mchongo(Kumchanganya JPM na JK.Nyerere,baada ya hapo wakaja wanao mkubari JPM,inaonyesha haya mambo yanatengenezwa alafu wanapeana taharifa waanze kupost ujinga wao kwa wakati mmoja bila kujua tupo humu akina great thinker.
Hata mimi ilinishangaza sana
 
Usimweke Hayati Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere kwenye kundi moja na huyo kituko. Ni kashfa kubwa na dharau kwa baba yetu mpendwa wa taifa.

Nyerere alikua a state man, a visionary leader, a man of unquestionable integrity and very intelligent man. Mungu aendelee kumpa punziko jema la milele.

Huyo mwingine ni aibu ya taifa, hakuwa na akili, hakuwa na emotional intelligence, mkabila, mwongo, mbadhirifu,na ata kiingereza hakuwa anajua kuongea. Ni abu kwa taifa
Naona mmepata wa kuwabembeleza
 
Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
JPM alikua kiongozi sio tu wa kuigwa bali wa kuenziwa. Ni aina ya viongozi wa pekee sana ambao hutokea kwa uchache dunian na hufanya makubwa snaa... Historia ya JPM ktk uongozi nawez ifananisha na M. SOKOINE. pamoja na kuwa mafisadi na wahujumu uchumi wameweka fedha sana kuifuta historia yake lkn bado jamaa yupo miongoni mwetu mpaka hii leo. JPM ni kiongoz mzalendo na shupavu haijawah kutokea tangu enzi za nyerere kupita.

Wanao kashfu ukwel huo ni kwa sababu kwanza hatuko sawa, pili kuna waliolipwa kwa kazi hiyo, mwisho kuna walio haribiwa uwizi wao na deal zao hawawez kumpenda.

Kiongozi katufanya tuingie uchumi wa kati, katuvusha kwenye corona, kajenga nchi kila kona, katuheshimisha arafu kuna MTU kavimbiwa huko anatak tukubaliane na maneno yak.

JPM aliuwa watu ambao walitaka kuiua nchi. Kwanza hakuua sawasawa ningekua mm ningeua wanafiki na mafisadi wote tena nanyonga kbsa ili mseme vzr takataka nyie
 
Habari,

Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao.

Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu?

Mwalimu Nyerere na Magufuli ni Marais PEKEE waliopambana na kuhubiri kupinga Ufisadi wazi wazi bila kuogopa, kifupi hizi kebehi na kwamba watu wengi hawafuatilii mambo ila wanafuata mkumbo kama wangeelewa tusingeona haya mambo.

Je, kwa namna walivyojipambanua kupambana na Ufisadi na kuwa Wazalendo kuna haja ya kuweka Sanamu zao pale Dodoma kama Ishara ya Uzalendo? Vijana tukipita tupate hamasa!

View attachment 2237718
View attachment 2237721
Magufuli gani? Huyu aliyeongoza ufisadi wa manunuzi yasiyofuata tender process wala bajeti?
 
Tatizo alikuwa na mapungufu mengi,anaungwa mkono na kundi la watu wachache,fikiria hata makamu wake wa rais kipindi kile alikuwa hamkubali,alivuruga demokrasi kuwapitisha wabunge wa CCM bila kupigwa,kipindi chake maiti zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba,na watu walikimbia inchi
Wafuasi wa Jiwe ni watu maskini wajinga na wasio na uelewa wowote wa mambo..

Kundi hilo Nyerere aliwahi wauliza mnataka vyama vingi au chama kimoja eti wakasema chama kimoja..

Akajua Hawa ni mburula akawapuuza na kwenda na Maoni ya wachache werevu..

Hao ndio Jiwe alikuwa anawachezea eti ananunua mahindi kwao mara jogoo na maigizo mengine kama hayo 😆😆
 
Back
Top Bottom