Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Wenye akili za kijinga?.Anakubalika kwa sukuma gang na wajinga wenzie kama wewe lakini wenye akili hata siku moja hawamkubali Magufuri.
Kwanini kumchukia mtu alie ipeleka nchi katika uchumi wa kati.
Unajiskiaje unapo pita ubungo pale, ama kimara mail moja.
Magu angekuwa hai mbaka 2025 unge tembea kwenye njia nane kuanzia kimara mbaka chalinze.