Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Nchi hii inawajinga wengi sana nandio maana tunachelewa kwa sababu ya kuwa na watu vilaza kama baadhi ya wachangiaji hapo juu.

Magu anakubalika 24/7 na wananchi kwa mamilioni, na wengi hawana access JF.
Nyerere alikuwa muoga kwa mabeberu Magu hakumuogopa mtuyoyote linaokuja swala la maslah ya nchi hata ccm wenzake wanajua.

..Nyerere hakuwa muoga kwa mabeberu.

..hebu hakiki vyanzo vyako vya taarifa.

..Nyerere aling'ara kimataifa kwa sababu alikuwa akipambana na mabeberu kwa hoja.

..Kwa upande mwingine Magufuli alikuwa akijifungia hapa Tanzania akiogopa kushindanisha hoja zake na zile za mabeberu.

..Nyerere alishatimua wanadiplomasia wa Marekani. Alivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza na kukataa misaada yao. Alivunja mahusiano na Ujerumani magharibi. Alivunja uhusiano wa kibalozi na Israel.

..Kubwa kuliko yote Nyerere ali-support vita ya ukombozi kusini mwa Afrika dhidi ya mabeberu. Particularly ali-support kijeshi wapiganaji wa Frelimo ya Msumbiji dhidi ya wakoloni wa Kireno ambao ni wanachama wa NATO.

..Kwa upande mwingine hebu tuelezeni Magufuli alifanya jambo gani dhidi ya mabeberu ambalo Mwalimu Nyerere hakuwa na uwezo nalo.

..Mwalimu alikuwa akiwakemea mabeberu kwa ukosefu wao wa maadili.

..Magufuli alikuwa akikemewa na mabeberu kwa dhuluma na ukatili aliokuwa akiwafanyia wananchi wake mwenyewe.

Nguruvi3, Kalamu1
 
Hii kufuru jamani unamlinganisha shetani mkuu Lucifer na mtu aliye kwenye mchakato wa kutangazwa mtakatifu? Ukatubu dhambi hii ya mauti
mkuu ila alituita raia "farasi" kimafumbo akitangazwa mtakatifu tutakata rufaa!!
 
..Nyerere hakuwa muoga kwa mabeberu.

..hebu hakiki vyanzo vyako vya taarifa.

..Nyerere aling'ara kimataifa kwa sababu alikuwa akipambana na mabeberu kwa hoja.

..Kwa upande mwingine Magufuli alikuwa akijifungia hapa Tanzania akiogopa kushindanisha hoja zake na zile za mabeberu.

..Nyerere alishatimua wanadiplomasia wa Marekani. Alivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza na kukataa misaada yao. Alivunja mahusiano na Ujerumani magharibi. Alivunja uhusiano wa kibalozi na Israel.

..Kubwa kuliko yote Nyerere ali-support vita ya ukombozi kusini mwa Afrika dhidi ya mabeberu. Particularly ali-support kijeshi wapiganaji wa Frelimo ya Msumbiji dhidi ya wakoloni wa Kireno ambao ni wanachama wa NATO.

..Kwa upande mwingine hebu tuelezeni Magufuli alifanya jambo gani dhidi ya mabeberu ambalo Mwalimu Nyerere hakuwa na uwezo nalo.

..Mwalimu alikuwa akiwakemea mabeberu kwa ukosefu wao wa maadili.

..Magufuli alikuwa akikemewa na mabeberu kwa dhuluma na ukatili aliokuwa akiwafanyia wananchi wake mwenyewe.

Nguruvi3, Kalamu1
Magufuli alitunga sheria ya maliasili iliyokata mirija ya wazungu wanyonyaji
 
Mtoa mada comments zinazomponda Magufuri humu JF zisikupe taswira halisi, hawa ni sawa na grasi ya maji kwenye pipa lililojaa maji.
 
Magufuli alitunga sheria ya maliasili iliyokata mirija ya wazungu wanyonyaji

..Nyerere aliongoza harakati za uhuru wa Tanganyika dhidi ya wakoloni.

..Nyerere aliongoza kamati ya ukombozi ya Afrika OAU Liberation Committee ambayo ilikuwa na jukumu la kukomboa nchi zote zilizokuwa zikitawaliwa.

..Nyerere alitaifisha mabenki, mashamba makubwa, viwanda, migodi, toka kwa wazungu na kuweka mali hizo chini ya umiliki wa serikali.

..Nyerere alikuwa mbabe KIJESHI ktk eneo na majirani zetu. Kwa mfano, alimuondoa Idi Amin madarakani na kuikalia Uganda kijeshi. Nyerere alizima mapinduzi ya kijeshi nchini Seychelles.

..Wakati wa Nyerere Tanzania ilifundisha majeshi ya Msumbiji, Zimbabwe, Angola, na Seychelles.

..Nasisitiza kwamba Magufuli hana sifa alizokuwa nazo Nyerere.
 
rasilimali zetu zilitumika ovyo bila ridhaa ya raia kusaidia kukomboa nchi zingine na mda huu kama si Nyerere tungekuwa kama South!

Vita ya Kagera tuliitengeneza ili kumtoa Amin kwa kuwa hakuwa mjamaa na alikuwa mjeda na muislam! Nyerere alitaka Obote aongoze Uganda sio Amin!! Ndugu zetu walikufa bure!

boss usiwe unameza kila unachosoma!!
 
Vita ya Kagera tuliitengeneza ili kumtoa Amin kwa kuwa hakuwa mjamaa! ndugu zetu walikufa bure!

..hoja zako hazina uzito, na hazitetewi na facts.

..tulitumia rasilimali zetu kuwafukuza maadui zetu toka karibu na mipaka yetu.

..tungewaacha wakae karibu na sisi wangehatarisha usalama wetu.

..Iddi Amin alituvamia tukamtwanga na kumfukuza akaishi ukimbizini.

..Tangu tumuondoe Idi Amin hatujawahi kuwa na matatizo na Uganda.

..Tunatarajia kujenga bomba la mafuta kati ya Tz na Ug hayo ni matunda ya kazi ya Mwalimu Nyerere kusimika utawala rafiki nchini Ug.
 
..nyinyi vijana wa mataga / sukuma gang ni wavivu mno wa kusoma, na mmelewa uongo na propaganda za Magufuli.
 
Wenye akili za kijinga?.

Kwanini kumchukia mtu alie ipeleka nchi katika uchumi wa kati.

Unajiskiaje unapo pita ubungo pale, ama kimara mail moja.
Magu angekuwa hai mbaka 2025 unge tembea kwenye njia nane kuanzia kimara mbaka chalinze.
Kwani wote tunaishi Ubungo???? Tanzania siyo Ubungo au Kimara bali Kimara na Ubungo vipo ndani ya jiji la Dar es Salaam ambako kuna watu watakufa bila hata kuijua.
 
Nchi hii inawajinga wengi sana nandio maana tunachelewa kwa sababu ya kuwa na watu vilaza kama baadhi ya wachangiaji hapo juu.

Magu anakubalika 24/7 na wananchi kwa mamilioni, na wengi hawana access JF.
Nyerere alikuwa muoga kwa mabeberu Magu hakumuogopa mtuyoyote linaokuja swala la maslah ya nchi hata ccm wenzake wanajua.
Kwani hawa watu wa hapa JF si ni kiwakilishi tu cha watu wengine walio huko nje?
 
Watu wa mtaani utajuaje maoni yao bila kuandika?
Ungewapa karatasi waandike maoni yao ungeona hakuna tofauti na hawa was mitandaoni
 
rasilimali zetu zilitumika ovyo bila ridhaa ya raia kusaidia kukomboa nchi zingine na mda huu kama si Nyerere tungekuwa kama South!

Vita ya Kagera tuliitengeneza ili kumtoa Amin kwa kuwa hakuwa mjamaa! ndugu zetu walikufa bure!

Mwisho akanunua ndege kwa cash na kuliweka shirika chini ya ofisi yake kukwepa uchunguzi. Mpaka leo bei ya ndege hakuna anayejua
alitukomboa kutokana na aibu ya nchi tajiri kuwa na ndege moja tu tena ya kukodi
 
..hoja zako hazina uzito, na hazitetewi na facts.

..tulitumia rasilimali zetu kuwafukuza maadui zetu toka karibu na mipaka yetu.

..tungewaacha wakae karibu na sisi wangehatarisha usalama wetu.

..Iddi Amin alituvamia tukamtwanga na kumfukuza akaishi ukimbizini.

..Tangu tumuondoe Idi Amin hatujawahi kuwa na matatizo na Uganda.

..Tunatarajia kujenga bomba la mafuta kati ya Tz na Ug hayo ni matunda ya kazi ya Mwalimu Nyerere kusimika utawala rafiki nchini Ug.
Ila hili la vita ya Kagera, sikubaliani na wewe.
Faida ya vita ya Kagera ni za kibinafsi za Mwl.
 
..Mwalimu hakufaidika chochote binafsi kutokana na vita vya Kagera.

..Idi Amin alikuwa mwendawazimu aliyetishia usalama wetu kila mara.

..alikuwa na mawazo ya kuteka maeneo ya Tanzania na kuyafanya sehemu ya Uganda.

..Tanzania na Uganda tulisaini makubaliano ya amani yanaitwa Mogadishu Accord.

..Iddi Amin alikiuka makubaliano hayo akatuvamia, akaua watu, akaharibu mali, na akakalia ardhi yetu kimabavu.

..katika mazingira hayo ilikuwa ni lazima kumtoa kwa nguvu ktk ardhi yetu. Ndio maana Mwalimu alimtuma Brigedia. Tumainieli Kiwelu kuandaa operation Chakaza iliyomtoa Iddi Amin ktk ardhi yetu.

..pamoja na kumtoa ktk ardhi ya Tanzania Iddi Amin aliendelea kutushambulia kwa kutumia ndege za kivita. Kwa hiyo ikalazimu Mwalimu Nyerere kumtuma Maj Jen Musuguri kuongoza vita ya kumng'oa Amin na serikali yake yote.

..baada ya kumng'oa Iddi Amin, makundi ya wanasiasa, waasi, na wanaharakati wa Uganda, walikutana Moshi Kilimanjaro na kuunda serikali ya mpito iliyoongozwa na Prof.Yussuf Kironde Lule.

..Zoezi la kumchagua Prof.Lule lilifanywa na Waganda wenyewe na hakukuwa na shinikizo la Nyerere au serikali ya Tanzania.
 
Yaani kina watu wana akili punje, yaani , unamsifia Rais Kwa kujenga Ubungo na TAZARA Interchange🤔
 
Back
Top Bottom