Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

Hii kufuru jamani unamlinganisha shetani mkuu Lucifer na mtu aliye kwenye mchakato wa kutangazwa mtakatifu? Ukatubu dhambi hii ya mauti
Nyerere kaua hadi wazungu kwa kupigania africa hivyo nyerere na jpm ni kitu kimoja uzalendo kwanza
 
Huu ni uwongo wa mchana! UDINI hakuna
Mmeanza kumhalalisha shetani kwa kumlinganisha na mwenyeheri Nyerere!!! Lile shetani halisafishiki hata ukilificha kwapani mwa malaika ni shetani tu!
Nyinyi waarabu mnajidai watz kumbe mmekuja kuifisidi nchi na serikali sasa hivi ccm hipo mifukoni mwenu ,wananchi wazawa tumesha wajua ....majangiri wakubwa nyinyi [emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Acha kumuweka Nyerere kundi moja na vitu vya kipumbavu
Kama Nyerere na Magufuli siyo kitu kimoja mbonq nyinyi wahuni wa CCM mmepiga marufuku hotuba za Nyerere naza Magufuli zisisikike popote kile kipindi cha hotuba za nyerere kimepigwa marufuku na sa100
 
Nyinyi waarabu mnajidai watz kumbe mmekuja kuifisidi nchi na serikali sasa hivi ccm hipo mifukoni mwenu ,wananchi wazawa tumesha wajua ....majangiri wakubwa nyinyi [emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Tehe tehe sukuma gang mtateseka sana hadi mnye damu yote mliyokunywa na yule shetani mnywa damu!
 
..Nyerere hakuwa muoga kwa mabeberu.

..hebu hakiki vyanzo vyako vya taarifa.

..Nyerere aling'ara kimataifa kwa sababu alikuwa akipambana na mabeberu kwa hoja.

..Kwa upande mwingine Magufuli alikuwa akijifungia hapa Tanzania akiogopa kushindanisha hoja zake na zile za mabeberu.

..Nyerere alishatimua wanadiplomasia wa Marekani. Alivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza na kukataa misaada yao. Alivunja mahusiano na Ujerumani magharibi. Alivunja uhusiano wa kibalozi na Israel.

..Kubwa kuliko yote Nyerere ali-support vita ya ukombozi kusini mwa Afrika dhidi ya mabeberu. Particularly ali-support kijeshi wapiganaji wa Frelimo ya Msumbiji dhidi ya wakoloni wa Kireno ambao ni wanachama wa NATO.

..Kwa upande mwingine hebu tuelezeni Magufuli alifanya jambo gani dhidi ya mabeberu ambalo Mwalimu Nyerere hakuwa na uwezo nalo.

..Mwalimu alikuwa akiwakemea mabeberu kwa ukosefu wao wa maadili.

..Magufuli alikuwa akikemewa na mabeberu kwa dhuluma na ukatili aliokuwa akiwafanyia wananchi wake mwenyewe.

Nguruvi3, Kalamu1
Tatizo la watu wajinga kama huyo uliyemfundisha hapo juu, hata baada ya kufundishwa hivyo hawarudi na kukupa shukrani za kuwaelimisha.

Kwa hiyo, hawa siyo wajinga, ni WAPUMBAVU.

Magufuli alikuwa ni mtu wa misifa.

Kila alilofanya kwa kugezea, alifanya ili apate sifa yeye.

Na katika hayo aliyokuwa akigezea, kwa vile moyo wake haukuwa na nia ya kweli ya kuyafanya, aliishia kuyafanya kwa makosa.

Magufuli hakuwa na uwezo wowote wa ushawishi. Hakuweza kujadili jambo likaeleweka na watu, kwa hiyo badala ya ushawishi mabavu ndio ikawa nyenzo ya kulazimisha anayoyataka yeye yawe kwa mabavu.

Elimu ya Magufuli ilikuwa ni ya kukariri, hakuwa na uwezo wa kutumia elimu yake kwa manufaa ya nchi yake. Kwa kutafuta misifa mingi alikariri takwimu za barabara, hata wingi wa samaki majini..., huo ulikuwa ni uigizaji, ulimbukeni.

Linganisha elimu hiyo na elimu iliyompa uwezo Mwalimu kujadili jambo na mtu na kulieleza kwa ufasaha kabisa kwamba linaeleweka na mtu yeyote, hata awe na elimu ndogo.

Kiujumla, kama viongozi, Magufuli alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya. Mtu asiyekuwa na utu kwa watu wengine ambao hawamshuhudu au hawampi sifa. Ndiyo maana akina Lissu waliishia kutaka kuondoshwa duniani na akina Ben hata haijulikani ilikuwaje.

Lakini pengine la msingi zaidi kuliko yote katika kutofautisha, Magufuli alikuwa hataki kufuata taratibu, hakuheshimu taratibu kabisa. Ndiyo maana yeye kuvunja sheria au katiba kwake halikuwa jambo la kusita au kumzuia asifanye alichotaka kufanya.

Mtu yeyote, na hasa kiongozi asiyependa kufuata taratibu zilizowekwa na jamii, huyo hawezi kuwa kiongozi mzuri. Ni kama jambazi tu!.
Ndiyo maana alitafuta na kuteua watu wenye tabia za ajabiu ajabu sana ili wamfanyie uchafu wake kinyume na sheria.
 
Kwani hawa watu wa hapa JF si ni kiwakilishi tu cha watu wengine walio huko nje?
Wanawakilisha ID feki tu humu,wengi wanazo zaidi ya moja, ndio maana hata hapo mtaanikwako utaona mitazamo na maoni yawatu wengi nitofauti na hizi pair humu.
 
Kwani wote tunaishi Ubungo???? Tanzania siyo Ubungo au Kimara bali Kimara na Ubungo vipo ndani ya jiji la Dar es Salaam ambako kuna watu watakufa bila hata kuijua.
Hapo hapo ulipo ukiweka unafki pembeni sekunde 5 tu utaelewa ninacho maanisha kuhusu Uzalendo wa Jembe.
 
Tehe tehe sukuma gang mtateseka sana hadi mnye damu yote mliyokunywa na yule shetani mnywa damu!
Tunakwendq kupindua meza kibabe wazalendo tupo kibao kwenye hii nchi bado mwska mmoja na miezi 6 tu wahuni wote wa sa100 mtajua amjui
 
Wewe mtoa mada mwondoe Nyerere kwenye hilo andiko lako tafadhali. Kumuweka pamoja na Magufuli muuaji, mwizi, mwongo, mnyang'anyi ni KUMTUKANISHA baba wa Taifa.

Nyerere hii anaongelewa na calible za akina Nelson Mandela, Nkrumah, Mahatma Gandhi nk.

Magufuli mjadili kwenye mada za akina Iddi Amin Dada, Mobutu Seseseko, Nguema na Bokassa
Hahahaha J.P.M hayupo ila bado anakupelekea moto hadi unakunja sura hata magufuli ukifananisha na baba yako bado hataondoka sawa we kibwengo
 
Hahahaha J.P.M hayupo ila bado anakupelekea moto hadi unakunja sura hata magufuli ukifananisha na baba yako bado hataondoka sawa we kibwengo
JPM hayuko fine, na wewe HAYAWANI kitu gani kinamfanya UMTETEE? Ungekaa kimya ningejua una ishi kwa ile sentensi ya "waacheni waliokufa wapumzike". You are a moron
 
..Mwalimu hakufaidika chochote binafsi kutokana na vita vya Kagera.

..Idi Amin alikuwa mwendawazimu aliyetishia usalama wetu kila mara.

..alikuwa na mawazo ya kuteka maeneo ya Tanzania na kuyafanya sehemu ya Uganda.

..Tanzania na Uganda tulisaini makubaliano ya amani yanaitwa Mogadishu Accord.

..Iddi Amin alikiuka makubaliano hayo akatuvamia, akaua watu, akaharibu mali, na akakalia ardhi yetu kimabavu.

..katika mazingira hayo ilikuwa ni lazima kumtoa kwa nguvu ktk ardhi yetu. Ndio maana Mwalimu alimtuma Brigedia. Tumainieli Kiwelu kuandaa operation Chakaza iliyomtoa Iddi Amin ktk ardhi yetu.

..pamoja na kumtoa ktk ardhi ya Tanzania Iddi Amin aliendelea kutushambulia kwa kutumia ndege za kivita. Kwa hiyo ikalazimu Mwalimu Nyerere kumtuma Maj Jen Musuguri kuongoza vita ya kumng'oa Amin na serikali yake yote.

..baada ya kumng'oa Iddi Amin, makundi ya wanasiasa, waasi, na wanaharakati wa Uganda, walikutana Moshi Kilimanjaro na kuunda serikali ya mpito iliyoongozwa na Prof.Yussuf Kironde Lule.

..Zoezi la kumchagua Prof.Lule lilifanywa na Waganda wenyewe na hakukuwa na shinikizo la Nyerere au serikali ya Tanzania.
hayo umeyasoma kitabuni ila ukweli kafa nao Nyerere kichwani mwake!
 
Magufuli hakuwa na uwezo wowote wa ushawishi. Hakuweza kujadili jambo likaeleweka na watu, kwa hiyo badala ya ushawishi mabavu ndio ikawa nyenzo ya kulazimisha anayoyataka yeye yawe kwa mabavu.

Elimu ya Magufuli ilikuwa ni ya kukariri, hakuwa na uwezo wa kutumia elimu yake kwa manufaa ya nchi yake. Kwa kutafuta misifa mingi alikariri takwimu za barabara, hata wingi wa samaki majini..., huo ulikuwa ni uigizaji, ulimbukeni.

Linganisha elimu hiyo na elimu iliyompa uwezo Mwalimu kujadili jambo na mtu na kulieleza kwa ufasaha kabisa kwamba linaeleweka na mtu yeyote, hata awe na elimu ndogo.

Kiujumla, kama viongozi, Magufuli alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya. Mtu asiyekuwa na utu kwa watu wengine ambao hawamshuhudu au hawampi sifa. Ndiyo maana akina Lissu waliishia kutaka kuondoshwa duniani na akina Ben hata haijulikani ilikuwaje.
Umemaliza mkuu.
Watu hawaulizii historia ya Magufuli.
Alishindwa kuwa na vigezo kumpeleka Chuo Kikuu baada ya Form Six.
Ilibidi aende ualimu.

PhD yake hata leo ni ya utata(forgery)
 
Kama Nyerere na Magufuli siyo kitu kimoja mbonq nyinyi wahuni wa CCM mmepiga marufuku hotuba za Nyerere naza Magufuli zisisikike popote kile kipindi cha hotuba za nyerere kimepigwa marufuku na sa100
Ni Kweli ,zile Hotuba za Mwalimu za saa 2 Usiku hazipo?!
 
..Mwalimu hakufaidika chochote binafsi kutokana na vita vya Kagera.

..Idi Amin alikuwa mwendawazimu aliyetishia usalama wetu kila mara.

..alikuwa na mawazo ya kuteka maeneo ya Tanzania na kuyafanya sehemu ya Uganda.

..Tanzania na Uganda tulisaini makubaliano ya amani yanaitwa Mogadishu Accord.

..Iddi Amin alikiuka makubaliano hayo akatuvamia, akaua watu, akaharibu mali, na akakalia ardhi yetu kimabavu.

..katika mazingira hayo ilikuwa ni lazima kumtoa kwa nguvu ktk ardhi yetu. Ndio maana Mwalimu alimtuma Brigedia. Tumainieli Kiwelu kuandaa operation Chakaza iliyomtoa Iddi Amin ktk ardhi yetu.

..pamoja na kumtoa ktk ardhi ya Tanzania Iddi Amin aliendelea kutushambulia kwa kutumia ndege za kivita. Kwa hiyo ikalazimu Mwalimu Nyerere kumtuma Maj Jen Musuguri kuongoza vita ya kumng'oa Amin na serikali yake yote.

..baada ya kumng'oa Iddi Amin, makundi ya wanasiasa, waasi, na wanaharakati wa Uganda, walikutana Moshi Kilimanjaro na kuunda serikali ya mpito iliyoongozwa na Prof.Yussuf Kironde Lule.

..Zoezi la kumchagua Prof.Lule lilifanywa na Waganda wenyewe na hakukuwa na shinikizo la Nyerere au serikali ya Tanzania.
Kun watu mna info nyingi Sana
 
Tunakwendq kupindua meza kibabe wazalendo tupo kibao kwenye hii nchi bado mwska mmoja na miezi 6 tu wahuni wote wa sa100 mtajua amjui
Thubutu mda wenu wa kuteseka ni huu! Tutawaswaga kama ving'ombe mnavyolishwa mchanga na kujifanya wafugaji!
 
Back
Top Bottom